Mwanafalsafa
Platinum Member
- Jun 24, 2007
- 651
- 828
Sijui ni nani mwingine aliiona hii, ila toleo moja la wiki iliyopita la gazeti la Tanzania Daima (ambalo linamilikiwa na CHADEMA) kulikuwa na picha ya Shyrose Bhanji kwenye ukurasa wa mwisho kabisa kama tangazo akijitangaza kuwa yeye anagombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na kwa hiyo anaomba kura yako.
Well, kwa vile wanaopiga kura ni wajumbe wa CCM pia sikuelewa mantiki ya Shyrose kujitangaza kupitia gazeti la CHADEMA. Sikatai CCM wanaweza kuwa wanasoma hilo gazeti pia lakini bado inazua maswali mengi kuliko majibu.
Wana-JF mnasemaje?