Zahanati Ya Kiwanda Cha nguo Urafiki Yageuzwa Chuo Cha Uandishi Habari

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,545
Miaka ya nyuma kiwanda kilikua imara na makini kila upande kilijitosheleza kwa kuwa na hospital yake, kikosi Chake cha zimamoto, shule, maduka, klabu za michezo na vikundi vya burudani
Katika vyote walikua na zahanati ilikuwa ikitibia familia za wafanyakazi na wakazi wa maeneo jirani na kiwanda mfano uzuri, manzese, mabibo nk cha ajabu baada ya muda kupita vitu vikaanza kuporomoka
Lililosikitisha zaidi ni ile hospital kufungwa, ikitokea iliyokua hospital ikakodishwa kwa kanisa! Zikapita siku na miaka kanisa likasitisha shughuli zao wakaingia watu wa chuo cha uandishi wa habari!
Sijui hata vifaa vilipelekwa wapi! Hadi leo mahala pale ni chuo hii inaumiza sana!
IMG_20180909_161824.jpg
IMG_20180909_161807.jpg
 
Nini chuo cha uandishi wa habari Pale soon patakuwa stendi ya mkoa maana kila basi la mkoa linafungua ofisi+YARD yake maeneo hayo kuanzia Kilimanjaro na Dar Express, Dar Lux.l, Extra coach, frester n.k....jiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom