Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mvua kidogo za vuli zilizonyesha mjini babati nakutirisha maji kidogo katika mfereji iliziduliwa hivi majuzi na Mheshimiwa Makamu wa Raisi wa Tanzania,zimebomoa baadhi ya mitaro. Sisi wakazi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndg. Mkurugenzi, Yah: ZUIO LA KWA WAFANYABIASHARA KUENDESHA BIASHARA ZAO NYAKAZI ZA ASUBUHI KWA SIKU ZA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI. Kwanza kabisa naomba niwapongeze kwa kazi nzuri ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka 2004, mwanamitindo ya urembo wa nywele Apryl Michelle Brown kutoka Los Angeles, Marekani alipoteza makalio, mikono na miguu yote baada ya misuli yake kuoza kutokana na kupata madhara ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu... Ni kawaida kwa majengo maarufu ya biashara au hata yale ya kiserikali kupewa majina ambayo yanatumika kuyatambulisha. Na hasa katika Ikulu za nchi nyingi duniani zina majina...
5 Reactions
182 Replies
18K Views
Asante, tupo nyuma yako
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina swala linanitatiza ni kwamba serikali ya awamu hii walisema watumishi wa umma watapandishwa madaraja .lakini ajabu gadi Leo sijaona chochote. Na ukisoma post za wadau wengine utasoma wanasema...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Matapeli, wezi, vibaka, majambazi hawa watu wote si watu wema... Hawana utu na hawajali kabisa maumivu ya wengine... Ni wachoyo na ni wa binafsi sana.... Ndio maana wanapokamatwa hufanyiwa mambo...
8 Reactions
159 Replies
16K Views
NI MAWAZO TU KWA MFANO Ukimchukua mtu ukamfundisha kwa muda wa miezi 12 tu mambo muhimu kuhusu mafanikio kama vile kufanya kazi kwa bidii, kuwa mkweli, kuwa mwaminifu, kutofuja pesa, kuwa na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nilikuwa nahamisha pesa kiasi cha 500,000/= kutoka kwenye akaunti yangu ya M-Pesa kwenda Tigo-Pesa nikapata message hii, "Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi...
2 Reactions
53 Replies
9K Views
Msemaji wa Serikali Dk Abbas alipoulozwa sababu ya kutolifungia gazeti la Tanzanite licha ya kuandika habari ambazo zingeandikwa na gazeti lingine lisilohusiana na serikali lingefungiwa. Msemaji...
1 Reactions
55 Replies
8K Views
Kwa mfumo wetu wa kodi ulivyo kila mtanzania analipa kodi mara mbili. Yaani ukipata pesa unalipa kodi na ukitoa pesa unalipa kodi kwa maana ya ukipokea unalipia kodi ya mapato na ile hela...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Kiwango kikubwa cha data huwa nakitumia kwa hizi reviews kama sehemu ya kujifunza. Nimejikuta napenda sana kuona jinsi CCTV zinavyowaumbua watu waliokosa hofu ya mungu, na moyo wa kujituma. Pia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
UBETI WA KWANZA Umesahau ulipotoka, hujui unapokwenda Ukapata kiburi kuona mi nakupenda Nilikuthamini na letu penzi kulienzi Na leo siamini kama umenisaliti mpenzi Kumbuka nilikukuta kijijini...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu habari za asubuhi eti mwana hizaya ni nani na alitokea wapi.Make mtu akiwa mshenzi mshenzi hana adabu na tabia nyinginezo zizizofaa huitwa mwana Hizaya.Sasa huyo Hizaya ndo nani haswa.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
UANAUME WA MIJINI NDIO JINA SAHIHI Naomba kabla sijaanza kuelezea chochote ni-declare interest kwamba mimi sio mwanaume wa Dar na wala sijazaliwa mjini/jijini. Kwanza kabisa naomba nijifanye...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilikua naayaangalia maisha ya hawa watu wa msituni huko Amazonia, kwa kweli ni maisha poa sana, hayana stress kama haya maisha tunayoushi sisi hii leo huku kunakoitwa ulumwengu uliostaaravuka...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
GIRLFRIEND ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2003 nchini Tanzania. Filamu inahusu muziki na maisha na ndani yake anakuja T.I.D, Yvonne Cherrie (Monalisa), Beatris Morris (Nina), Jay Moe, A.Y na...
3 Reactions
23 Replies
8K Views
Kwa ufupi mahakama imepokea maagizo ya Ikulu kuhakikisha Mbowe anasumbuliwa ipasavyo na yeyote ambae ataangukia kama sample ya kumsindikiza Mbowe kwenye usumbufu huo. Magufuli kupitia Mwanasheria...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
GEITA: Sintofahamu na taharuki imewakumba wakazi wa Kitongoji cha Buseresere, wilayani Chato mkoani Geita kufuatia mnyama anayetajwa kama paka mtu kuleta mauzauza; Amani limedokezwa. Usiku wa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom