Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sheria hii ni wizi na ujambazi wa Serikali dhidi ya watumishi.Kimsingi mafao ni malimbikizo ya michango mtumishi na mwajiri,kwa ufupi ni matokeo ya mishahara ya mtumishi.Kanuni ya kutoa 25% ya...
35 Reactions
115 Replies
16K Views
Mtandao wa Wanawake Tanzania (Afnet) umetoa ripoti polisi ukidai kuna udalali wa biashara ya ngono kwa wanafunzi wa vyuo kadhaa vya Dodoma unaofanywa na mameneja wa hoteli zilizopo katikati ya mji...
3 Reactions
160 Replies
55K Views
Katika maisha nimejifunza kutojitia mstari wa mbele marafiki wanapo gombana maana wakipatana we uliyekuwa mstrari wambele unabaki ndo adui. Mfano naona RC na Clouds sasa urafiki umerudi full...
2 Reactions
4 Replies
992 Views
Wakazi wa kanda ya ziwa watakiwa kuchangamkia fursa Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias John Kwandikwa amewataka wakazi wa mikoa ya Mwanza na Geita kuchangamkia fursa za kiuchumi na kijamii...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Habari wakuu. Nimekua nikijiuliza hili suala Mara kadhaa lakini bado nikawa kwenye mizani. Katika misingi ya uongozi inaaminika kwamba kiongozi bora ni yule anayekua anatengeneza baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Kuna ujumbe nimeupokea kwenye simu yangu Leo asubuhi nahisi jamaa aliyeituma huo ujumbe alikosea namba, badae nikajaribu kumpigia simu nimtaarifu akupokea Ujumbe huko hivi "HABARI ZA WAKATI HUU...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Shirika la majisafi na Majitaka Dar es Salaam(DAWASCO) limevunjwa rasmi na kuunganishwa katika Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam(DAWASA). Akizungumza katika sherehe za kuunganishwa...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Hii ni jana baada ya wafanyakazi wake kwenda na familia zao ofisini kwaajili ya kudai madeni.ninachojiuliza ni kwamba bosi wake haitambui hii inshu au ni vipi.
3 Reactions
104 Replies
16K Views
Habari Wadau, Leo Nimepata Msikia Mkuu Wangu Wa Mkoa Poul Makonda Akisema Kuwa Kibari Cha Kupiga Mziki Mwisho Saa 6 Usiku Kama Unataka Kupiga Mziki Zaid Ya Huo Muda Watu Waende Club Kubwa Hapa...
19 Reactions
399 Replies
47K Views
Ni muda mrefu tangu kupita kwa umeme kjijini kwetu(nilipo kwa sasa)bwana mmoja akatoa ufadhili wa Transfoma na nguzo. Alichoahidiwa angefungiwa tangu June. Akatoa kipaumbele kwamba waunganishe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
TTCL wanasemaje GB 3 wakati ukifikisha GB 2.3 inakata?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pongezi kwa kubuni Tamasha tajwa. Mmeanza Dodoma, Dar, Mtwara mikindani pengine na Zanzibar mpaka Arusha. Swali langu je tamasha hili walengwa wakuu ni kina nani? WATALII toka nje ya nchi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Daraja hilo limekatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Tabora Inashauriwa Wasafiri wanaoelekea mkoa wa Dar es Salaam waende moja kwa moja hadi Tabora ili wapitie Itigi...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Ndugu zangu ni maelezo marefu sana ambayo yamesababisha kuanza safari hii hadi Afrika ya Kusini, hivyo sitayaeleza kwa hapa isipokuwa nawaomba mnisaidie maelezo ya kusafiri na basi hadi bondeni...
0 Reactions
80 Replies
13K Views
Dar es Salaam. Hali ya kifedha ya kampuni ya usafiri wa anga ya Ndege ya Precision Air bado haijatengemaa baada ya kupata hasara ya Sh12.1 bilioni katika mwaka ulioishia Machi mwaka huu. Hata...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
kutana na mwanasaikolojia akueleze vizuri juu ya Ndoto Dr, Nkwabi Sabasaba Asilimia 90 zandoto tunazoota ndio mambo ynaokuja kuwa halisi watu wengi huota na badae hujaribu kuweka katika uhalisia...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Mtu kukata tamaa ya kusoma chuo kikuu kwa hofu ya kuto pata ajira. Mtu kukata tamaa ya kupenda kwa hofu ya kutendwa. Mtu kuogopa kufanya biashara fulani kwa hofu ya kupata hasara. Watu wa namna...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Habari wadau wa JF siasa. Kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha kada maarufu wa Chadema hususan Moshi mjini ndugu Deogratius KISOLI kilichotokea jana usiku nyumbani kwake Mji Mwema...
6 Reactions
47 Replies
8K Views
Hela imeanza kuonekana mtaani.sasa hivi ndio kipindi Ccha watu kushika alichonacho na kukiongezea ubora. Machungu yamabadiliko bado yanapiga mwani. Ni muda wa kazi. Epuka kuingia mikononi mwa dola...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa yanayoendelea kwa sasa nchini Tanzania huku na hawa Wanaharakati wawili mmoja wa Upinzani na mwingine wa Serikali akina Mange Kimambi na Cyprian Musiba nahisi wamebakisha muda mchache mno wa...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom