Msemaji wa Serikali: Gazeti la Tanzanite haliwezi fungiwa kwakuwa hakuna aliyelilalamikia

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Msemaji wa Serikali Dk Abbas alipoulozwa sababu ya kutolifungia gazeti la Tanzanite licha ya kuandika habari ambazo zingeandikwa na gazeti lingine lisilohusiana na serikali lingefungiwa.

Msemaji huyo amesema hawajalifungia kwa sababu hakuna mtu aliyefika kwake kulalamika

Pia soma

=> Je, Gazeti la Tanzanite kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuandika habari iinayomdhalilisha mwanadada Mange Kimambi?

Msemaji wa Serikali, alisema kuwa amepata malalamiko kuhusu gazeti la Tanzanite na kuchukua uamuzi wa kuwaita. Soma => Gazeti la Tanzanite kitanzini kwa habari zisizo na weledi. Waitwa Ofisi ya Habari Maelezo kujieleza

Pia soma utetezi wa Tanzanite kuhusu kudukuliwa => Wamiliki gazeti Tanzanite wafungua kesi kudai wamedukuliwa na kuchapisha habari zisizo na maadili, sio wao walichapisha

Msemaji wa Serikali: Tumelionya gazeti la Tanzanite kwa kuchapisha picha za utupu
 
Daaaa hatari sanaaaa, bongo kwa drama cjapata kuona, mi niseme tuu kwamba hili gazeti lipo kimkakati zaidi, acheni ngonjera
Msemaji wa Serikali Dk Abbas alipoulozwa sababu ya kutolifungia gazeti la Tanzanite licha ya kuandika habari ambazo zingeandikwa na gazeti lingine lisilohusiana na serikali longefungiwa.

Hivi hajui kuwa maandishi hayafutiki
 
Rubbish eti, huyo ni Dr. Shithole PhD.. likitokea gazeti likaandika kuwa kitaipindua serikali, atanyamaza kwa vile hakuna aliyelalamika!
 
Back
Top Bottom