Nina swala linanitatiza ni kwamba serikali ya awamu hii walisema watumishi wa umma watapandishwa madaraja .lakini ajabu gadi Leo sijaona chochote. Na ukisoma post za wadau wengine utasoma wanasema wamepandishwa hayo madaraja sasa Mimi sielewi wakuu imekaaje hapa Mimi ni mtumishi wa shirika LA elimu kibaha yani nashindwa kuelewa ni serikali kuu ndio inakwamisha au ni shirika ninalofanyia kazi. Limeshindwa kutekeleza majukum yake