ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,118
- 1,437
Nilikua naayaangalia maisha ya hawa watu wa msituni huko Amazonia, kwa kweli ni maisha poa sana, hayana stress kama haya maisha tunayoushi sisi hii leo huku kunakoitwa ulumwengu uliostaaravuka "civilized world".
Hawa wenzetu hawana stress eti
1.Sijui kesho nitakula nini
2.Luku imeisha
3.School fee ya watoto sijalipa
4.Kodi ya nyumba inakaribia
5.Watoto wanataka kupelekwa hospital
5.Kazini nina vyeti feki, wakaguzi wanakuja
6.Mkopo benki
Mengine malizia wewe
Jamaa wapo natural na hawahitaji utegemezi wowote
Hawa wenzetu hawana stress eti
1.Sijui kesho nitakula nini
2.Luku imeisha
3.School fee ya watoto sijalipa
4.Kodi ya nyumba inakaribia
5.Watoto wanataka kupelekwa hospital
5.Kazini nina vyeti feki, wakaguzi wanakuja
6.Mkopo benki
Mengine malizia wewe
Jamaa wapo natural na hawahitaji utegemezi wowote