Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sipingani na taratibu za jeshi la polisi, kitengo cha uchunguzi na intelijensia.... Watu wengi wameuawa na kutengenezewa mazingira ya kujiua wenyewe... Hasa wale wanaoacha jumbe za kusema uamuzi...
26 Reactions
72 Replies
7K Views
Nimeona Kwenye Mtandao Wa Lemutuz Kuwa Ujenzi Umeanza ila Kwa Mujibu wa Picha zile sijaona Hasa main Contractor Ni Nani? Mwenye kumjua Aniambia aisee Source: Lemutuz
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Madrid leo kalaliwa, chelsea leo kachana mkeka manchester united sanches kama galasha yani kila sehemu ni shida tupu. Habari njema nikwamba lile tamasha la wasafi kule mtwara lipo mubashara...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau umuofia kwenu Kama walivyowahi kunena 'No longer at easy'. Anyway, nimetafakari ni sijui ni nani wa kuja kunitetea au kunifariji. Nimeamua kustaafu rasmi. Umuofia kwenu, Ni mimi Kyodowe
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukisoma mfano udaktari unaenda kuajiriwa kutibu watu, ulipwe vizuri maisha yaende. Ukiwa mwanasheria vilevile uwanasheria wako ukutoe kimaisha. Sasa mnaponiambia mimi Mhandisi nilime matikiti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Abiria 1: Konda hii gari ya wapi? Kondakta: Hujui kusoma? Shuka usome hapo mbele. Nimetanguliza hako "kadayalogi" hapo juu kureflect tabia na kauli mbovu za ndugu zetu Makondakta wa daladala hasa...
3 Reactions
108 Replies
8K Views
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameonyesha kukerwa na tabia ya baadhi ya Watanzania wanaotumia muda wao mwingi kwenye mitandao ya kijamii Blogs kuiponda nchi yao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
yaani sielewi kuna miujiza gani, ukikaa ndani ya Gari peke yako hata uruke,ubinuke,ukatike ama utikise uwezavyo wala halitingishiki; lakini cha jabu sasa ukiwa na mpenzi wako ndani mkitekenyana...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Yasemekana hoja kubwa kusitisha tamasha ni makelele mitetemo sound kubwa. Bibi wa taifa amelazwa hospitali jirani pia.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mhenga aliesema jino moja mswaki wa nini
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JESHI la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi wa Gairo mkoani Morogoro, Hassan Abdallah kwa tuhuma za kufanya kazi ya kitabibu pasipo kuwa na taaluma ya kazi hiyo. Akizungumza na wanahabari...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Duuuh ni kweli kwamba kila muwamba Ngoma huvutia upande wake,NI kipindi kirefu Sana toka CMG ianze Tamasha la Fiesta lakin Leo inasadikika kuwa Tamasha hili linasitishwa kwa sababu zisizo za...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Tutaje majina tu bila kuweka maneno mengine najua watasoma hata kama watachukia lakini ujumbe utakuwa umewafikia watawala......Anaweza akawa kiongozi yoyote wa serikali unayemfahamu....anaweza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaam wapendwa, Leo nimefungua TV (TBC) nikakuta kuna kipindi cha Tanzania ya viwanda wakiwa wilayani Missenyi, nimekuta wako kwenye kiwanda cha kutengeneza Gypsum Missenyi, kwakuwa nimekuta...
1 Reactions
0 Replies
924 Views
Thursday, 09 June 2011 20:32 Ally Mkoreha, Dodoma VYAMA vya upinzani nchini, vimeshauriwa kujenga utamaduni wa kushiriki katika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya taifa, ukiwamo Mpango...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Tanzania tunajivunia kua na Treni Kasi. Hongera Mh. Raisi wa awanu ya Tano juhudi zako zinafanya kazi. Miundo mbinu ya Treni Kasi Dar to Morogoro huku harakati zingine zikiendelea. ====== PICHA...
22 Reactions
97 Replies
14K Views
Kuna Rafiki yangu mmoja ni Dereva wa Malori ya Kongo na Burundi katoka Kuniambia muda si mrefu kuwa Lori lake liishiwa Maji maeneo jirani kabisa na Daraja la Mikumi hivyo akadhani kuwa anaweza tu...
42 Reactions
160 Replies
18K Views
MHASIBU wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Kanda ya Kaskazini (jina linahifadhiwa), anatafutwa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa Arusha kwa tuhuma za kuiba Sh milioni 703, mali ya mwajiri wake...
4 Reactions
60 Replies
8K Views
BIBLE IKO WAZI UKIMWIBIA MUNGU LAZIMA UTESEKE SASA NAONA MAKELELE MENGI YASIYO NA MSINGI NAWAKUMBUSHA TU MNAPOPATA MAPESA HAYA YA DUNIAN MKUMBUKENI NA MUNGU ALIE HAI NAE ANAONA MNACHOPOKEA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom