Tahadhari leo kwa wateja wa M-PESA.

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Leo nilikuwa nahamisha pesa kiasi cha 500,000/= kutoka kwenye akaunti yangu ya M-Pesa kwenda Tigo-Pesa nikapata message hii,

"Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhari wasiliana na huduma kwa wateja".

Nilipoangalia salio pesa ikawa imekatwa lakini haijafika kwenye akaunti ya Tigo pesa, nilipopiga Huduma kwa wateja wakasema kuna matatizo ya kiufundi NISUBIRI MASAA 72 yaani siku tatu.

Yaani hapa nimechoka na pesa ilikuwa ya kusafirishia msiba.
 
Hiyo mitambo inaweza kukata pesa tu isitume? kama ina tatizo kwanini isikatae kukata pesa mwanzoni kabisa? na kwanini wakae na pesa yangu masaa 72 bila riba kama sio wizi ni nini.

Yaani hapa nimechoka na pesa ilikuwa ya kusafirishia msiba.
 
Lkn Watanzania tunapenda sana usahihi wakati huo hakuna tunacho jivunia kwamba hiki tumebuni sisi na kimefanikiwa system inafanya kazi siku zote kwa mafanikio makubwa lkn changamoto ya siku moja mtu unaandika vibaya kiasi hiki....

Kuna sehem nimepita nikakutana na hii
Screenshot_2018-11-23-10-21-42.jpeg
 
Leo nilikuwa nahamisha pesa kiasi cha 500,000/= kutoka kwenye akaunti yangu ya M-Pesa kwenda Tigo-Pesa nikapata message hii,

"Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhari wasiliana na huduma kwa wateja".

Nilipoangalia salio pesa ikawa imekatwa lakini haijafika kwenye akaunti ya Tigo pesa, nilipopiga Huduma kwa wateja wakasema kuna matatizo ya kiufundi NISUBIRI MASAA 72 yaani siku tatu.

Yaani hapa nimechoka na pesa ilikuwa ya kusafirishia msiba.
Imewahi nitokea mm pia kama wiki tatu zilizopita.Nilipata usumbufu sana lkn pesa ilirudishwa baada ya masaa 48
 
Hapo tatizo ni tiGo maana hata nami iliwahi kunisumbua kutuma pesa kutoka Airtel Money kwenda Tigo pesa. Muda mchache uliopita nimepokea pesa kupitia Mpesa bila tatizo lolote.
 
Mbona tigo pesa iko vizuri tu hata sasa nimeitumia.
 
Leo nilikuwa nahamisha pesa kiasi cha 500,000/= kutoka kwenye akaunti yangu ya M-Pesa kwenda Tigo-Pesa nikapata message hii,

"Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhari wasiliana na huduma kwa wateja".

Nilipoangalia salio pesa ikawa imekatwa lakini haijafika kwenye akaunti ya Tigo pesa, nilipopiga Huduma kwa wateja wakasema kuna matatizo ya kiufundi NISUBIRI MASAA 72 yaani siku tatu.

Yaani hapa nimechoka na pesa ilikuwa ya kusafirishia msiba.
Nafikiri kuna shida kubwa ipo wakati wa kuhamisha au kutuma pesa toka mpesa kwenda tigo.na majibu yao yamekuwa hayo hayo 72 hrs.Mimi imenitokea Mara mbili lakini sikupata huduma kwa wakati Hata baada ya kupiga Mara kwa Mara customer care yao zaidi ya kukuwekea matangazo mengiii.Tuache kutuma pesa toka mpesa kwenda tigo.katika ulimwengu wa Leo kila kitu kimekuwa automated halafu unakaa na hela ya mtu eti siku tatu.!!!
 
Hill tatizo liliwahi kunitokea nilituma pesa kutoka m pesa kwenda tigo pesa nilituma Alhamisi waliniludishia Jumatatu
 
Back
Top Bottom