Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,704
Wakuu habari za asubuhi eti mwana hizaya ni nani na alitokea wapi.Make mtu akiwa mshenzi mshenzi hana adabu na tabia nyinginezo zizizofaa huitwa mwana Hizaya.Sasa huyo Hizaya ndo nani haswa.
Ya majiChupa tena chupa gani sasa
Ya maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenishtukia eeenh. Nilikuwa nakuchangamsha kidogo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] daah kweli we malyenge hapo mkuu una sledi mbili mbili sio
Tuko pamoja mkuu nipe nondo nawewe usiwe Mwanahizaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenishtukia eeenh. Nilikuwa nakuchangamsha kidogo[emoji3]
Kwa hiyo unataka kuniambia hana tofauti na yule anaenunua ndege na kujenga reli huku Raia wake wakiwa wana njaa kali.Mzee hizaya aliwahi kuiba chakula chote kwenye sikukuu ya Kijiji na kwenda kuwalisha samaki mtoni. Namkumbuka Sana yule mzee miaka ya sabini
Hili ni fumboMzee hizaya aliwahi kuiba chakula chote kwenye sikukuu ya Kijiji na kwenda kuwalisha samaki mtoni. Namkumbuka Sana yule mzee miaka ya sabini