Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Matapeli, wezi, vibaka, majambazi hawa watu wote si watu wema... Hawana utu na hawajali kabisa maumivu ya wengine... Ni wachoyo na ni wa binafsi sana.... Ndio maana wanapokamatwa hufanyiwa mambo mabaya sana.
Ndugu zetu waafrika kutoka taifa la Nigeria wanasifika kwa wizi hasa wa kutapeli na wizi wa mitandaoni (fraudsters) na wamewaumiza wengi sana.
Sasa hivi karibuni vijana wawili shababi toka taifa hilo wakamlenga Mmexico mmoja wakampiga USD 400,000 tasilimu kwa njia ya mtandao.
Mmexico baada ya kugundua kapigwa, hakupaniki bali akajifanya bado hajagundua kupigwa... Hivyo akawasiliana na wezi wake na kuwaomba kiasi kilichobaki 1.2million USD awape cash... Jamaa wakaingia mkenge wakakubali.. Mmexico yule akawatumia na ticket za ndege kwenda Mexico kuvuna mamilioni ya dola za bure.
Heri wangejua wanaenda kukutana nanini kamwe wasingethubutu kunyanyua hata unyayo... Ile kutua tu Mexico, mwenyeji wao akawapokea na kuwapeleka eneo salama la kukabidhiwa mapesa... Lakini kwa mstuko mkubwa wakakumbana na watu wasio na roho.
Walikamatwa wakavuliwa nguo zote wakafungwa kamba mikononi na miguuni kisha wakabanikwa wakiwa hai mpaka wakaiva.
Tahadhari ya picha kwa wale wenye roho nyepesi.
View attachment 943512View attachment 943513View attachment 943514View attachment VID-20181122-WA0060.mp4