Kichaa ni WeweWew pia unamwita jiwe ----- malizia kichaa
Habari kubwa sahv ni mafao ya watumishi tu.....vp unaionajeTuende Mbele na kurudi nyuma, Mbowe na Matiko walikuwa hawahudhurii mahakamani bila sababu za msingi na ndio sababu ya kusukimiwa ndani!!
Nawaona kama ni ka mbinu Fulani wanacheza nako ili kesi isianze kusomwa, maana haingii akilini kwamba mdhamini atoe sababu nyingine na Mbowe aje na ya kwakwe inayopingana na mdhamini wake. Lipo jambo hapoTuende Mbele na kurudi nyuma, Mbowe na Matiko walikuwa hawahudhurii mahakamani bila sababu za msingi na ndio sababu ya kusukimiwa ndani!!