NI dhahiri kwamba nchi za Ulaya zinaongoza kwa burudani ya mapenzi (ngono) duniani, japokuwa watu huisahau Malaysia kuwa miongoni mwake.
Kwa mujibu wa utafiti wa taasisi ya Durex, Malaysia ni...
Nimeingia Mtwara jana mchana . Nimekuja ' kutafuta toto za kimakonde" @ Wasafi Festival.
Miaka ya nyuma ilikuwa ukija Mtwara unakutana na wabongo kutoka sehemu mbalimbali za...
Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Fortunatus Musilimu amesema madereva wa magari ya serikali watakaokiuka sheria za usalama barabarabi...
Diwani wa Kata ya machame Magharibi Mkoani Kilimanjaro,MARTIN Munisi anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake mzazi Mzee Danieli Ngatara Munisi kilichotokea machame Jana Tarehe 23/11/2018 ...
Zifahamu haki zako za msingi kabla hujakamatwa na police,
Polisi atapokuambia upo chini ya ulinzi, unahaki ya kumwambia usinizingue.
Police atapo kupiga kibao,unahaki ya kumpiga dumi,mateke nk...
Kwa mujibu wa TANGAZO lililozunguka kwenye makundi ya wasap,
Leo tar.21 ndo siku ya kupigiwa simu ya kuitwa kazini.
Je, kwa walioapply.... Kuna aliyeitwa.
NB Kama hujui Hilo TANGAZO Uzi huu sio...
'Nakupenda, unanipenda, usinishike mkono' ni kampeni inayoanzishwa na Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Seleman Jafo ili Watanzania waache kushikana...
Samahani wakuu,sina access ya jukwaa la dini.Nimeona niulize maswali yangu apa tafadhali:
(1) Hivi inaruhusiwa kwenda beach na mkeo,na ni nguo gani za kuvaa,kwa maana hawezi kuingia na hijab...
Unakuta ukishalichemsha na kulimenya, kile kiini kinamwagika kama majimaji yenye unga wa njano, halafu ile sehemu nyeupe ya yai inakua kama lipira la plastiki ukilibonyeza, linapukuchika kama...
Habari wana jamvi naombeni msaada najaribu kujiunga utumishi portal kwa ajili ya kupata salary slip .Tatizo limekua kwenye kuweka tarehe ya kuzaliwa inagoma kabisa sijui wapi napokosea.
Siku ya Leo mitambo ya umeme inaelekea kinyerezi magari makubwa yanapita Yale yanayotumia njia mbili.foleni hio inakutana na foleni ya magari kutoka shule ya tusiime ambapo Leo Kuna mahafali pale...
BIMA KWA MAGARI YA SERIKALI
Ndugu Wazalendo, nawapongeza kwa jitihada mbali mbali za kusukuma gurudumu la Taifa ili nchi yetu iweze kufikia katika uchumi wa Kati kama Dira ya Taifa inavyosema...
Igweeeee....wana Great thinkers.....!!!
Baada ya salamu. Nijikite moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu.
Ndugu, vijana wa kiume usiruhusu binti ama mwanamke akuzarau aisee utapata tabu Sana...
Wachagga wote waaminiwe wabaki katika Mabenki na Taasisi zote za Kifedha
Wapare wote wapewe Jukumu la Kupanga Bajeti ya nchi nzima
Wasukuma wapewe Jukumu la Kulima Mashamba yote nchini Tanzania...
Wanajamvi natumai mkopoa
NI wiki 3 sasa. Toka vyuo vikuu vifunguliwe majina ya wanufaika wa mkopo tayari baadhi yamefikishwa na wengine tayari wameshapokea mkopo lakin Cha kushangaza Kuna...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Dr Karen Weatherby wa Ujerumani kuhusu afya ya mwanaume kwa mwanamke,utafiti huo umebaini kwamba mwanaume anaetazama matiti ya mwanamke kwa muda wa dakika 10...
Kama picha na title inavyojieleza nyimbo za huyu mama ni za aina gani?
Ama yupo katika kundi lipi? Ni za msiba? Mimi huwa nazigwaya sana nahisi za mizimuni zimekaa kutishatisha na za kiajabu...
Wakulima wa korosho mtamchagua tena?Vpi korosho zenu zimeshanunuliwa?Mbuzi washaanza kunywa soda?Ok Huku kwetu tunapambana tu si mnajua harakati za mtu mweusi.?
Vipi lakini kwa ujumla wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.