Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. Mpoki Ulisubisya akitoa neno mbele ya Maafisa Afya wa Mkoa, Halmashauri pamoja na Wadau wa Mazingira leo katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Madereva...
Wakuuu asalaam aleykum,
Tumsifu yesu kristu,
Leo nimeona nishee na nyiny jambo hili lililonitokea miezi miwili iliyopita
Baba yangu (marehemu) alianza kuugua mwaka jana 2017 mwezi wa 9 hivi...
Kuna Mtumishi wa umma aliomba mkopo bank ya CRDB amejikuta anaingia kwenye ATM, na kukuta amekatwa hela ya mkopo huku hela hiyo aliyoomba hajapewa, amewafuata CRDB wamemwambia watamuwekea tu...
Leo November 23, 2018 Tunae Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri katika Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com ambapo ametueleza mambo mengi ikiwemo maisha ya Mumewe akiwa nyumbani...
Wadau wa mtandaoni wanadai huyu jamaa ni mbongo ila hakuna hata ushahdi wa jina ,kuna anayemjua huyu bibi harusi mwenye ndevu.
-------
Huyu jamaa anaitwa Kashinde, amemaliza kidato Cha 4 1993...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania JPM amedhihirisha maneno aliyoyaongea mwaka jana wakati wa mwaka mmoja wa uongozi wake alipoita waandishi wa habari pale Ikulu, aliposema Kama isingekuwa...
JESHI la Polisi limewasafirisha viongozi watatu waandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliowakamata juzi jioni baada ya kampeni za udiwani kwenye kata Kivinje kutoka kilwa mpaka Lindi.
Viongozi...
Freezer hii ni mpya haijatumika tangu inunuliwe inauzwa ,
Location: Dodoma mjini.
Bei :550K (laki tano na nusu)
Warrant ni mwaka mmoja
Risiti ya manunuzi inapatikana.
Natoa tu angalizo zama hizi si za kuchezea mihimili ya dola. Binafsi yangu tangu mkuu Pascal Mayalla ahojiwe na bunge na kurudi akiwa mpole kabisa nilielewa zamu hii hakuna muhimili wa mchezo...
Nianze kwa kumuomba ndugu Pascal Mayalla atupe tafsiri kwa "kizalendo" na kwa "kingoosha"
Ningependa sana jiwe aelewe kwa lugha zote tatu kwa maana tunawajibika kumkumbusha.
Nimelazimika kuomba...
Nimeiona mahali kuwa tofauti ya matumizi ya simu za mkononi kati ya Tanzania na kenya ni kuwa ya Kenya hutumika zaidi kutafuta fursa ,scholarships ,kazi nje ya nchi,biashara nk wakati kwa upande...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa aipongeza Halmashauri ya mji wa Njombe kwa kufanya vizuri katika mashindano ya usafi wa Mazingira kwa miaka...
Nikikaa nikifikiria hela yangu inavyopasuliwa kwenye mshahara wangu ambao ni jasho langu alafu anayechukua hizo hela ananipangia masharti ya kunilipa roho yangu inaniuma sana, Nikiangalia mshahara...
salaaaam wana jf
kwa mada moja kwa moja yani huku kwetu kuna utaratibu wa kuvaa helment kwa abiria wa boda boda hadi dereva na usipokutwa na helment ni faini unalambwa sasa nishawahi uliza hivi...
Mtanzania Msafiri Musa, akamaywa ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na kutapishwa kete 69
Alikamatwa wakati wa ukaguzi katika uwanja huo, alikuwa akisafiri kuelekea China na...
Naomba.
hizi kumbukumbu mzikumbuke kua baada ya miezi mitano mbele shilingi ya Tanzania itaporomoka kwa kiwango kikubwa kama serikali haitochukua hatua za makusudi za kulinda pesa yetu.
Naiomba...
Naomba kujuzwa na Wataalamu wa uchumi na kodi je inflation ikishuka au mfumuko wa bei ukishuka kodi za mapato zinazokadiriwa kwa biashara Na TRA zinatakiwa kubaki vile vile kabla ya inflation...
Bila shaka hapa ulimwenguni hamna kitu kinaogofya Zaidi ya kupoteza uhai kwa viumbe hai ( WANYAMA NA BINADAMU). Hali hii hutokana na mfumo wa fahamu unaofanya kazi automatic kulinda na kudhibiti...
*Mbunge* wa Tanzania akimalza muda wake anataka apewe *kiinua mgongo* chake chote kwa mkupuo na wamejiwekea utaratibu huo kisheria
Mbunge huyo huyo ametunga sheria kwamba *Mstaafu wa Tanzania*...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.