Barabara zilizofunguliwa na Makamu wa Rais mjini Babati mitaro yabomoka

njofu

Member
Jul 29, 2012
67
19
Mvua kidogo za vuli zilizonyesha mjini babati nakutirisha maji kidogo katika mfereji iliziduliwa hivi majuzi na Mheshimiwa Makamu wa Raisi wa Tanzania,zimebomoa baadhi ya mitaro.

Sisi wakazi tumejuuliza kama mvua kidogo zimeleta Matatizo hayo.je mvua za masika zitatufanyaje?.Wahandisi na wahusika chukueni hatua.
 
Sema wahandisi hao wachukuliwe hatua siyo wachukue hatua, wahandisi wameshachukua hatua tayari kwa kuwajengea mitaro.
 
Mvua kidogo za vuli zilizonyesha mjini babati nakutirisha maji kidogo katika mfereji iliziduliwa hivi majuzi na Mheshimiwa Makamu wa Raisi wa Tanzania,zimebomoa baadhi ya mitaro. Sisi wakazi tumejuuliza kama mvua kidogo zimeleta Matatizo hayo.je mvua za masika zitatufanyaje?.Wahandisi na wahusika chukueni hatua.
Weka picha ili tukuamini vinginevyo acha uzushi!
 
Mvua kidogo za vuli zilizonyesha mjini babati nakutirisha maji kidogo katika mfereji iliziduliwa hivi majuzi na Mheshimiwa Makamu wa Raisi wa Tanzania,zimebomoa baadhi ya mitaro. Sisi wakazi tumejuuliza kama mvua kidogo zimeleta Matatizo hayo.je mvua za masika zitatufanyaje?.Wahandisi na wahusika chukueni hatua.
njofu, kwanza nikupe pole kwa mafua jitahidi kunywa maji mengi na matunda.
Tatizo kubwa ni wakandarasi sijajua waliopewa kandarasi za kujenga hizo barabara ni wachina au wazawa
 
Mvua KIDOGO,zilizotiririsha maji KIDOGO.
Wenye akili wataelewa lengo lako.
 
Back
Top Bottom