Wakuu naomba kujuzwa mimi kama mwananchi wa kawaida nisiyekuwa na chama chochote je naweza peleka hoja yangu binafsi Bungeni na ikajadiliwa na kutolewa maamuzi kwa faida ya wananchi wote..?
Kama...
Kwa mara ya mwisho volcano ililipuka mwaka 2007 na kusababisha madhara kidogo kwa mifugo kuuawa na maeneo ya malisho kuharibiwa. Hivi sasa wanajiolojia wa kimataifa wanafuatilia.
Ni vema serikali...
Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia...
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim aliliambia Mwananchi jana kuwa, wameanza kukagua magari nyakati za usiku baada ya kubaini madereva aliowataja kuwa ni wakorofi...
Wataalamu wa Kufikiri:
Mada ya leo inatokana na fundisho kwamba kuna chanzo cha KILA KITU tunachokiona kwa macho,kusikia,kugusa, kuhisi au viwezavyo kuonjwa.Na kwamba sio tu vitu...
Habarini ndugu ?
Nilihitimu bsc in physics, niliona tangazo la kazi Muhas walihitaji medical physicist mwaka Jana 2017. Walihitaji medical physicist, aliye na digri ya physics, radiology au...
Rushwa ya Ngono kwa baadhi ya shule binafsi Mkoani Arusha limeelezwa kushamiri kiasi cha baadhi ya Mashirika yanayojihusisha na utetezi kuingilia kati yakidai wamiliki wa shule hizo wanawakumbatia...
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim aliliambia Mwananchi jana kuwa, wameanza kukagua magari nyakati za usiku baada ya kubaini madereva aliowataja kuwa ni wakorofi...
Wasalaam wakuu.
Leo naomba niwe muwazi kabisa:
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai...
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwa mzima wa Afya. Mh,WAZIRI lukuvi,kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayotufanyia Watanzania kupitia wizara ya Ardhi. Umekuwa ukitatua migogoro...
Kwa kipindi cha kama wiki tatu ukipiga au kupigiwa hakuna masikilizano mazuri kunakuwa na kama mawimbi fulani.
Leo niliamua kumpelekea fundi simu nikifahamu ina tatizo ndio aliponiuliza kama...
Ivi kijana wa miaka 29 anatakiwa aweje . level zipi anatakiwa afikie kimaisha . Nina jamaa yangu ana miaka 29 ilatabia zake aziendani Na age yake
Adi sasa ajawai jilipia Kodi ya chumba ata cha...
Kwa kweli juhudi zinafanyika nyingi sana ambazo kwa ujumla malengo yake ni kuogeza pato la serikali na hatimaye kuwekeza sehemu ya mapato hayo ktk utoaji huduma za kijamii husani public goods...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeeleza kuongezeka kwa joto juu ya wastani kufikia nyuzi joto 34 na litadumu mpaka Januari mwakani kutokana na kuwapo kwa jua la utosi na mvua hafifu za...
Katika kuwataftia elimu ya uhakika kwa maisha yao; Niko njia panda ya kufanya maamuzi;
Je; Hawa watoto niwaandishe shule za kisasa English medium ada 3milion au niwapeleke moja kwa moja shule za...
Habari za wakati huu wana JF.
Nimekuwa mtumiaji wa huduma za mulla celullant kwa kipindi cha miezi minne na katika hiyo miezi minne miwili yote sikuwahi kupata changamoto yoyote.
.
Mwezi jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.