Nini kimemkumba Babu Seya ?

Nini kimemkumba Babu Seya ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,387
Reaction score
289,513
Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia magadi badala ya chumvi kuungia mchuzi )

Walipotolewa gerezani kinyume cha sheria ( mbakaji hana msamaha ) waliamua kujitolea kuisifu serikali na ccm bila mafanikio mithili ya kuupaka rangi upepo , walipogundua haiwezekani wakatoweka !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom