Happy Birthday Tanzania 57 yrs !!!!

luirhu

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
800
412
Nchi yangu Tanzania imezaliwa siku kama ya leo 9/12/1961 na leo imetimiza umri wa miaka 57 hongera sana Tanzania hongera nchi yangu.
 
Indeed
HONGERA SANA MAMA TANZANIA
MWENYE ENZI MUNGU AKUPE BARAKA ZAKE ZOTE WALAHI
 
Hakuna nchi iliyozaliwa siku ya Leo inayoitwa Tanzania.

Bali nchi ya Tanganyika.
 
Hakuna nchi iliyozaliwa siku ya Leo inayoitwa Tanzania.

Bali nchi ya Tanganyika.

Asante mkuu nakubaliana na masahihisho,
Ilizaliwa Tanganyika siku kama ya leo(9/12/1961) sio Tanzania
 
Mungu aendelee kuijaalia nchi yetu maisha marefu yenye amani na utulivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom