Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Miaka michache iliyopita nilipoteza ndugu yangu aliyedondoka ghafla akiwa kwenye kituo cha dalala. Msaada waliompa zaidi ili kuwa ni kumpepea kwa kipande cha khanga. Na nimekuwa nikisikia taarifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam wakuu!! Ni mda wa weekend, Wanaeuropa wamejipumzisha kwa style mbalimbali kulingana na kipato chao kinavyo waruhusu.Ndani ya Europa kuna matatizo mbalimbali kiuchumi,kisiasa na...
0 Reactions
4 Replies
937 Views
Msaada Wa mikopo kutoka benk yenye riba nafuuu kama yupo wakala hapa au mwenye kufahamu taratibu za riba rate anisaidia miye na wengine
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mie nahisi mnamtumia Membe kumtumia ujumbe Magufuli alegeze kamba na si kweli mmemchoka Magufuli,,,,mna love hate relationship na Magufuli...lol mnamkubali na ma flyover yake ndio maana wengi wenu...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari ndugu Watanzania wenzangu popote mlipo nawasalimu sana. Nawapa tahadhari kubwa kuhusu utapeli mpya ambao unaendelea kufanywa na baadhi ya matapeli hapa nchini na umeumiza watu wengi na...
3 Reactions
83 Replies
13K Views
Eti mnasema aachwe aongoze na achukue ubingwa kirahisi rahisi tuu,as wapi masigara kawasoma weee,kisha ajasema waleteee,waleteni tuumimi nitawaonesha kilichomtoa kanga manyoya! Alah,Na badooooo
1 Reactions
7 Replies
1K Views
RAIS MAGUFULI ANAHITAJI KUOMBEWA, TUMUOMBEE!! Nimesikiliza hotuba ya Rais Magufuli, ile ya Ikulu kuhusu siku ya Uhuru wa Tanganyika. Nimeitazama tena na tena ile video, kila nilipoirejea nilipata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamn naomba kujua batch ya 5 bodi ya mkopo wanaachia linii maana hali ni mbayaaa san,,, watu qanashindiaa mkate na majii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Geita imemfikisha mahakamani raia wa China kwa kosa la kumshawishi mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel ili ampe rushwa ya Sh1milioni...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Kuna watu hufanya kilimo na shughuli nyingine kwa kufuata utabiri wa TMA. Hii ni mamlaka yenye majukumu ya kutueleza nini kinatarajiwa kutokea baada ya muda Fulani. Sasa naombeni popote...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Hiv heslb watatoa majina Lin kwa wale continues ambao bado hawajapat mkopo maan dash maisha ni magumu jamn
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Wakuu,hebu tukumbushane kuwa duniani tunapita tu,hivyo tutendeane mema na tusameheane, kupitia list hii tutakayoitaja najua kuna matajiri,wazuri,wabaya,maskin n.k waliotutangulia,itupe chachu ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa hivi local channel TV inayo tamba kwa sasa ni TBC kwani inapatikana katika ving'amuzi vyote. Lakini TV channels nyingi zimeondolewa katika ving'amuzi vingi vikuu hivyo kupoteza zaidi ya...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimekuja kugundua wanaolalamika kwamba pesa hakuna Ni wavivu wasiopenda kazi au hawajifunzi dondoo za kutembea nazo nyakati hizi ambapo uchumi wa dunia yote unatetereka kutokana na ushindani wa...
9 Reactions
69 Replies
7K Views
Mungu ibariki Tanzania na Afrika mzima[emoji120] Watz wote muwe na maadhimisho mema ila swali langu ni je, maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Tanganyika Watanzania tumenufaika nini na serikali yetu?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jana jioni nasikia imetokea ajali mbaya iliyopelekea roho za watu watatu waliokua mshikaki kwenye boda boda kugongwa na basi là drt mwendokasi na kupoteza maisha On the spot Kutokana na ufinyu wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Serikali imeipa miezi miwili Bodi mpya ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kuwachukulia hatua watumishi waliohusika katika ubadhirifu, upotevu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ambao...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana JF, Acha niende kwenye hoja moja kwa moja, bila kupoteza muda. NI dhahiri kwamba nchi za Ulaya zinaongoza kwa burudani ya mapenzi (ngono) duniani, japokuwa watu huisahau Malaysia...
5 Reactions
173 Replies
40K Views
MAAJABU YA NDEGE TAI! Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufika umri huo lazima afanye maamuzi magumu, yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu. Akifikia umri wa...
30 Reactions
33 Replies
5K Views
Maana kujifungua kwa uchungu ni adhabu nadhani iliyotolewa na Allah, sasa je, wanadamu wanataka kudodge adhabu hii iliyotolewa na the most high kwa kujifungua huku wanapigishwa umbea na manesi...
1 Reactions
4 Replies
989 Views
Back
Top Bottom