getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Wakuu naomba kujuzwa mimi kama mwananchi wa kawaida nisiyekuwa na chama chochote je naweza peleka hoja yangu binafsi Bungeni na ikajadiliwa na kutolewa maamuzi kwa faida ya wananchi wote..?
Kama ndio je ni utaratibu gani unapaswa ufuatwe.?
Kama haiwezekani je nikitaka hiyo.hoja ijadiliwe natumia utaratibu gani mwingine..?
naomba kusiadiwa tafadhari kama kuna wajuzi. Wa mambo hayo..