Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nimeshangazwa na hichi kitendo cha huyu dereva wa bodaboda na abiria Dereva":Hivi unauonaje uchumi wa sasa Abiria-mzunguko wa pesa umekuwa mgumu sana we acha tu hali imetaiti sana...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Bei ya daladala kwa safari fupi jijini Dar es salaam ni Sh.400 na ndefu 600-750 na ndefu zaidi sh.1000 kama sijakosea. Bei hii ilipangwa wakati mafuta yakiuzwa chini ya 2000 Tshs. Sasa bei imekuwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii redio huku Songea haipatikani, hivi sababu hasa nini, mimi ni msikilizaji mkubwa sana wa hiki kituo, Wanajua wanijulishe kupitia jf
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Coastal union leo wanamenyana na Mbeya city na tayari official line up yao Ally Kiba mfalme wa muziki Tanzania anaanza.Mechi saa kumi jioni. Je atafunga Hatrick leo?
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Inasemakana kwamba zaidi ya watu milioni 30 huko Marekani wana matatizo ya nguvu za kiume huku idadi ikiwa zaidi ya watu milion100 duniani. Viagra ilitengenezwa na Pfizer kwa lengo la kutibu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo JPM ametoa Pesa za kujenga hosipitali ya UHURU means wananchi WA Dodoma wanahitaji sana huduma za afya ILI WASIFE, Inasikitisha sana unapoona ona mbunge WA eneo husika(naibu waziri)...
2 Reactions
183 Replies
17K Views
MICHUZI BLOG: JWTZ YATANGAZA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI MADAKTARI WA BINADAMU NA FANI NYINGINE ZA TIBA
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwanza kabisa nipende kumpongeza waziri mkuu kasimu majariwa na rais wa wetu JPM kwa kukubali kununua korisho kwa sh3300 lakini nipende kuwapa taarifa kama walilenga kumsaidia mkulima siku...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jf. Naomba kufahamishwa vituo, vya watoto yatima vyenye hali mbaya kabisa ambavyo vina uhitaji mkubwa, au hospitali, . Ila kwa maeneo ya Bagamoyo. Tupo kama kikundi tunatarajia kwenda...
1 Reactions
4 Replies
921 Views
Viongozi wetu sio #MALAIKA# na wala sio viongozi wazuri sana kuliko watanzania wote ni #kwaneema# tu, wamepata bahati yakutuongoza watanzania wezao.Sio kweli kwamba hawa wanaotuongoza...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Samahan ndg zangu nina shida naomba kusaidiwa mimi ni dada nina miaka 24 nimeolewa mwaka sasa sijashika mimba nimeamua kutumia dawa za clomid je kuna uwezekano zikanisaidia ili niokoe ndoa yangu.
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Mimi sio msomi lakini naweza kutoa yamoyoni mwangu. Watoto wangu wanapaswa kuukulia utaifa kwa kutazama mambo ya kitaifa hata wakiyaona kwenye Television wajue hili nijambo la Kitaifa . Sasa hii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa ni karibu wiki hatuna maji. Kuna nini mbona hamtuambii? Tupeni maji cc Kitilya Mkumbo.............. bado mambo ni business as usual!
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Hili tangazo kuanzia audio iliyopo maredioni hadi picha pamoja na hali ya mjadala wa ushoga uliotawala taifa na dunia kwa sasa swali langu kwenu mtandao wa Tigo. Tigo mnafeli wapi!?, ni kwamba...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Katika hali ya kukata tamaa aliandika haya! “Nilifikia kilele cha mafanikio katika biashara duniani. Katika macho ya watu wengine, maisha... yangu ni kielelezo cha mafanikio. Hata hivyo, mbali na...
9 Reactions
23 Replies
7K Views
Nimevutiwa na kile anachokifanya Diamond anajitoa kurudisha kwa jamii kile anachokipata.! Naamini kwa Tanzania yeye ndio atakuwa msanii wa Kwanza kuwa na shule ya serikali inayoitwa kwa jina lake...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Nauli ya kwenda China ni 2mil+ hapo hujaweka matumizi mengine kama hotel, usafiri n.k, but iwonder peoples zinaenda kule kumunua belo 10 za nguo za ndani. How do you make profit?
3 Reactions
11 Replies
4K Views
"When a body is totally or Partially immersed in water equal volume of the liquid is equal to the Volume of the water displaced" Hii principle sijawahi isahau tangu kidato kilee sijui kwa nini ...
4 Reactions
76 Replies
11K Views
Miaka michache iliyopita nilipoteza ndugu yangu aliyedondoka ghafla akiwa kwenye kituo cha dalala. Msaada waliompa zaidi ili kuwa ni kumpepea kwa kipande cha khanga. Na nimekuwa nikisikia taarifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom