Kuna dalili volcano ikalipuka Oldonyo Lengai

Kuna dalili volcano ikalipuka Oldonyo Lengai

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,745
Reaction score
21,476
Kwa mara ya mwisho volcano ililipuka mwaka 2007 na kusababisha madhara kidogo kwa mifugo kuuawa na maeneo ya malisho kuharibiwa. Hivi sasa wanajiolojia wa kimataifa wanafuatilia.

Ni vema serikali ikawashauri wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya mlima huo kuhamia mbali kwa muda!
 
Ngoja tuone.
 
Hizo lava nasikia ni dawa ya nguvu za kiume ukinywa glass moja ndiyo maana nataka nipate glass moja ukilipuka.
Hakikisha unakuja na kifaa cha kufunika pua na mdomo ili kujikinga na hewa chafu!
 
Ukilipuka niletee uji wake ninywe (lava)

Uzuri lava ya Oldoinyo lengai sio hot, ni cold lava yenye rangi kama majivu. Lava ya milima kama Kilauea ni hatari, ni moto mwekunduuuuu. Oldoinyo lengai ni moja ya milima inayotoa lava isiyo kua na rangi ya moto bali lava yake ni kama majivu
 
Back
Top Bottom