Neno la Hekima

Neno la Hekima

leme

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2010
Posts
351
Reaction score
162
Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe....
 
Mbona pale home kuna michongoma na ina matunda lakini sijawahi ona ikipigwa mawe
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Leo naona shuzi limepata mjambaji..... tehteehh
 
Kuna misemo mingine haina maana kabisa kipindi hiki, sasa mtu anakwambia

Kuchamba Kwingi kutoka na nnya.

Wao kipindi kile ilikuwa hata usichambe kabisa fureshi tu, hakuna atakae kuuliza hata ukiwa na watoto hakuna wa kuuliza harufu mbaya inatokea kwa nani. Maji yenyewe yalikuwa ya tabu.

Leo hii chamba kidogo uone na joto hili la mji huu
 
Kuna mahali nimekuta watu wanarusha mawe kwenye Mti!! Nikajua una matunda,kumbe nilipousogelea nikagundua kuwa Nyoka Yupo juu ya Mti! Na kumbe mawe yanarushwa ili kumwangusha nyoka auwawe!! Na mimi nimeungana nao kumpiga mawe NYOKA! Kama na wewe unajali basi jiunge nasi kumwangusha NYOKA!
 
Back
Top Bottom