Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,042
- 25,519
Wasalaam wakuu.
Leo naomba niwe muwazi kabisa:
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai huwa na tabia chafu sana ya ukeketaji ambayo kwa mda mrefu nimekuwa naichukia lakini sikuwa na cha kufanya..
Mimi kama mwana jamii hiyo ninasoma kwa bidii ili Nije nishughulikie hiyo tabia kwani ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Lakini hadi sasa sijui pa kuanzia.. Ninasoma vitabu vingi vinavyohusiana na FGM lakini bado sijapata pa kuanzia...
Tafadhali naombeni ushauri ukiachana na kutoa elimu kwa jamii na kuwaripoti wanaofanya vitendo hivyo ni mbinu gani nyingie naweza kuitumia ... Mawazo yako ni ya muhimu sana ili nipate pa kuanzia. Pia kama una vitabu vinavyohusiana na FGM please naomba unitumie nivisome. Tuma kupitia e-mail hii: ...
NINA NIA YA KUIZIKA kabisa F.G.M katika jamii yangu kuanzia sasa utakaponipa wazo lako..
KWA PAMOJA TUSEME F.G.M BURIANI..
Karibuni kwa maoni