Fursa za reli ya kisasa zaanikwa.
Wakati mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya standard Gauge Railway (SGR).
Ukiwa umefika asilimia 47,imeelezwa kuwa utaenda sambamba na kasi ya ukuaji wa viwanda...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma kitabu kinaitwa The Slaughter: Mass Killings, Organ Harvesting, and China's Secret Solution to Its Dissident Problem. Kitabu hiki kimeandikwa na bwana Ethan...
Habari wandugu
Mimi ni mwanamume mwenye Umri wa miaka 35 Nina mke na watoto wanne.Tatizo langu ni kwamba ninahisi ninatatizo kubwa la kiakili ingawa sina uhakika.
Nilikuwa mwajiriwa na mara...
Shahidi wa nne wa Jamhuri, Kamishna Msaidizi wa Ardhi, Mathew Nhonge katika kesi dhidi ya Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Steal Group Company Ltd na Kiluwa Free Processing Zone, Mohamed Kiluwa...
Zoezi la kupata utambulisho wa taifa ,katika vijiji vya Geita husani Geita Vijijini limekuwa linakatisha tamaa baadhi ya wananchi ikiwemo kudharauliwa, kukejeliwa na kutothaminiwa.
Nikiwa kama...
1. Hivi inawakilisha shia au Sunni?
2. Je, kama ni dhehebu fulani la kiislamu kwa nn iwakilishe wote?
3.Je baraza hili mfano likiwa linawakilisha waislamu Je lina Uhuru gani dhidi ya serikali...
Ajali iliyohusisha pikipiki aina ya Toyo 125cc na gari aina ya Landcruiser Prado iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja hapo Sakina Silent Arusha mjini majira ya saa tatu oo nusu ya usiku na...
Kwa mfano waziri wa fedha philip mpango kasoma HGE, kidata kasoma HGE, na wachumi kibao pale udsm wamesoma HGE. Inamaana uchumi hauhitaji hesabu au ndi mana nchi inakwenda ndivyo sivyo kwa sabau...
Salaam Wadau!
Naomba msaada wa namba ya simu ya mkononi ya mtu anayefanyia Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha na mtu anayefanyia Halmashauri ya Wilaya ya Meru...
Nimebahatika kuitwa kwenye interview utumishi kwa kada ya procurement na hii ndio interview yangu ya kwanza utumishi naomba kupata uzoefu kwa watu wa kada ya ugavi waliobahatika kupita kwenye...
Kwa kweli wamekuwa kero na hali ni ngumu kuelekea sikukuu, jamaa nao wameamua kuongeza ubunifu na hivyo kuwaliza wengi. Tusaidiane kujua maeneo hayo hasa ya kudumu ili kuokoa kilichoko mifukoni...
Hivi kuendesha pikipiki uwa kunapunguza uwezo wa mtu kutafakari mambo? Hawa bodaboda akili yao inashangaza sana. Yani ikitokea kasababisha ajali wenzake watamshambulia huyo mwingine asiyekuwa na...
Kuna Rafiki yangu anataka cheti cha manjano cha kusafiria
Kama kuna mtu anaweza kutupatia cha Dili pouwa. PM
Update
Ahsanteni kuna mdau kanisaidia nimesha kipata cheti cha manjano.
Balozi Idd ataka wanawake wasiogope talaka
Alisema sio vizuri kuwaficha wanaume wanaoharibu watoto kwa kisingizio cha kutokuweza maisha bila ya ndoa.
Akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya...
Niwatakie sikukuu njema na baraka tele wana JF wenzangu.
Hii si mada ya kisiasa lakini katika ukurasa huu naweza kuwa nimewakwaza mtu mmoja mmoja chama, kada mkereketwa au mwananchi wa kawaida...
NMB yatoa msaada wa mabenchi 52 Muhimbili
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee an watoto, Dk Faustine Ndugulile akizungumza baada ya kupokea mabenchi 52 ya kukalia jamaa na...
Kwa muda mrefu nimekuwa natafakari hivi kwanini watu wanaoamini uwepo wa Mungu wakiulizwa maswali hasa yale magumu huishia kutukana na kutishia watu na huwa wakali mithili ya mbogo aliyefukuzwa na...
Huwa napata tabu sana kila ninaposhuhudia matendo ya hawa ndg zetu, nashindwa kupambanua utimamu wa akili zao kabisa.
Unapokwenda mochwari yeyote ile kwanza ni lazima utaambiwa muhudumu wa...
Habari WanaJF,
Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.