Kila nikiingia Instagram nakuta watu kwenye page zao hasa wadada wanaweka matangazo ya biashara yanayohusu kusaidia wakina mama/dada kushika ujauzito kwa kutumia dawa za aina mbali mbali za tiba...
Nimekuwa nasikia hili mitaani hapa Dar kwenye vijiwe mbalimbali kuwa kama huna una korosha za kuuza na huna shamba basi korosho zako zinataifishwa na mamlaka iliyopewa kununua korosho huko Mtwazra...
Kama ungeambiwa utaje shule tano za msingi kutoka Dar-es-salaam (1980-2009) maridadi kabisa na zilizotoa vijana wenye ushawishi mkubwa sana ungetaja shule gani?
Moshi eneo la coffee curing kiwanda kuna mti unawaka moto leo siku ya tatu na hauungui wala majani hayakauki,fire wamejaribi kuzima lakini wapii.source millard ayo
Mazao ya muda mfupi, wangeweza toa onyo na kuyaacha yakastawi yakishavunwa WEKA uzio wa mita hizo 60. Tangu mwanzo mamlaka husika haikuona tatizo ama ndo mwaga mboga nami nimwage ugaliiiiiiiiiii
Habari wana GT. Nadhani hichi kitu si kigeni katika masikio ya wengi.Wengi tumesikia kuhusu sarafu hizi za kale/zamani kuwa kama mtu utafanikiwa kuzipata basi utaweza kuziuza kwa pesa nyingi sana...
plans---mipango
a set of decisions about how to do something in thefuture:
goals----malengo
a purpose, or something that you want to achieve:
priorities---vipaumbele
something that is very...
Huyo Bwana alizaa na dada yangu mwaka 2003, lakini wakati wanazaa huyo mtoto hawakuoana, yani kwa kiswahili cha sasa alizaa na dada yangu nje ya ndoa. Huyo Bwana walizaa huyo mtoto wakiwa...
Habari wana jf. Samahani kwa mtu yeyote anafehama, ningeomba anifahamishe kituo kimoja wapo cha kulea watoto yatima maeneo ya BAGAMOYO, au Pwani, ambacho kipo katika hali mbaya zaidi, chenye...
Pichani wa Tatu Kutoka Kushoto ni Rais wa Russia-Urusi Sasa Hivi Vladimir Putin,Aliyekuwa Rais wa Msumbiji Samora Machael na Rais wa Sasa wa Zimbabwe Emmerson Mnangangwa Wakiwa Bagamoyo Nchini...
Kuna hizi tabia za baadhi ya vijana wa kitanzania kwa kusingizia hakuna ajira anaenda kufungua vyuma kwenye madaraja mbalimbali nchini au hata kwenye reli kufungua nati ni ujinga uliopitiliza wa...
Msaada tafadhali kwa yeyote anae fahamu hii taasisi ya serikali iko maeneo gani kwa Dar es salaam naomba anifahamishe tafadhili nimejaribu ku google lakin nimeshindwa kujua iko wapi .msaada tafadhali
Jumamosi mchana nillisikiliza radio Wapo fm inayomilikiwa na Mchungaji Gamanywa wa wa Wapo internatinal
Siku hiyo mchana wote manabii, mitume na wachungaji wanaomiliki makanisa na vituo binafsi...
Jamani, hasa wanywaji na msiokunywa, acheni kabisa kunywa Konyagi kubwa (toleo jipya) ya 750 ml.Ni kali sana na alcoholic yake ya 35% ni uongo, ipo zaidi ya hapo.
Yafuatayo ni baadhi ya madhara...
Direct to the topic...
Wale ambao mmesha tembea vi nchi kadhaa pengine mnaweza kuwa na experience kidogo ambayo mnaweza ku share nasi hapa.
Jamani nchi yetu hii watu wana entertain mikopo...
Mzuqa wanaJF!
Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni.
This island neshen will soon drown...
Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia...
Tukio hili limetokea Leo shule ya msingi Chipunda wilayani masasi mwanafunzi wa darasa la nne amemkata mwanafunzi mwenzie vidole vitatu vya mguuni na kimoja kimetoka hapohapo kingine badokidigo...
Haya ni maajabu ambayo wengi wetu hatujayaona.
Kama umekuwepo maeneo ya Magomeni Mapipa nyumba zoooote za za zamani zilizojengwa miaka ya '60 na '70 foundation ya nyumba hizo ni ndefu sana.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.