Nimeshangaa sana mimi,Leo asubuhi nilienda bank kwa matatizo yangu ile tunahudumiwa mbele ya mtoa Huduma kuna bwana akasema anahitaji mkopo wa million 150+ nikabaki nimetumbua macho tu.
Huyu jamaa...
Nawasalimu kwa jina la yeye aliye juu na mwenye kutupa pumzi....!!
Dakika moja iliyopita, nimesikia tetemeko la ardhi hapa Dodoma.
Kwa aliyeona ama kusikia pametokea madhara mtujuze tafadhali
Tunauza kokoto kwajili ya kujengea kama kunamakampuni ya Ujenzi mabarabara ,madaraja,na nyumba tutawauzia kokoto karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika utafiti wangu niliofanya nimegundua siku hizi Makampuni binafsi mengi hadi mashule kumekuwa na matatizo ya ucheleweshaji wa mishahara sana kuna wanaodai hadi miezi 6 na kampuni imeamua...
Promo ya hii kampeni ya Vodacom Tuzo Points ni kubwa sana lakini ukweli mchungu ni kuwa hazina thamani, Tuzo points 4000 hazifiki hata 500 ya Tanzania Shilingi
Sasa kweli hicho ni kitu...
Mtaalamu na nguli wa kiswahili Mzee Makih Hassan, ambaye ni miongoni mwa wachambuzi na waanzilishi wa kipindi cha kumepambazuka Kiswahili Radio One kinachorushwa kila Jumamosi, amefariki dunia...
Habari zenu...
Nimekaa tu nikakumbuka mzee wwtu mmoja aliyekuwa RC alikuwa na tabia ya kuguna. Hiyo tabia ikahamia katika social interaction akiwa anapita machana aliyejazia makalio watu...
Joseph Haule A.K.A Prof. J Ni mmoja kati ya wabunge wa upinzani anae cop vizuri na Serikali/ Chama tawala.
Nashauri Kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 Agombee jimbo la Mikumi kwa tiketi ya CCM
#TANGAZO MAALUM
Nyie Watu Wa Mjini... Hii Tabia Ya Kuja Kijijini Kwa Ajili Ya Sikukuu Mnakuja Na Sukari Kilo 02, Unga Wa Ngano Kilo 03, Pilipili Kopo 03, Sabuni Miche 02, Tomato Sauce Kopo 04...
1. Physical appearance, height and complexion matter 1% for success. Rest 99% is your hard work.
2. Time is a great healer and a great killer.You will suffer alot if you waste time.
3. Following...
Hadi sa hivi nina Pointi 107 na sijala hata shilingi moja ya Zimbabwe.
Wenzangu mlioshinda na kupigiwa simu mna pointi ngapi?
Nimeanza kununua kete mwezi wa tisa!
Kwa Kushirikiana Na Wenzangu, Mwaka 2019 Nitaendelea Kupaza Sauti Kwa Kadri Ya Uwezo Wangu, Kwenye Giza Pawepo Nuru, Penye Dhuluma Pawepo Na Haki, Penye Uonevu Pawe Na Usawa, Palipo Na Huzuni...
Kuna dalili zote Africa watu wake wote watakuwa weupo na ulaya watakuwa weusi alafu then watu watazamia kutoka ulaya kuja africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi ujisahau na kulewa Madaraka yapitayo.Ukijifunza histori utoanguka.Kesho mtakuwa senior citizen japo leo ni miungu watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu wakuu Great thinkers:
Kwanza niwatakieni afya njema,amani,kheri,mafanikio na barka za mwaka mpya. Pili ningependa kuzungumzia mafanikio na dosari nilizoziona kutokana na mada na hoja zetu...
Kwa mujibu wa katiba, rais wa Kongo anaweza kuserve term mbili baada ya hapo akakaa benchi akaingia rais mwingine ila uchaguzi utakaofuatia anaruhusiwa kurudi kwenye uchaguzi,yaani ni kama Russia...
Luka 3:14
14 Na baadhi ya askari wakamwuliza, “Na sisi je, tufanye nini?” Akawajibu: “Msichukue fedha za watu kwa kutumia nguvu; msiwashtaki watu kwa kuwasingizia makosa; bali mtosheke na misha...
Wadau hali ya wakulima wa korosho ni mbaya sana tofauti kabisa na inavyoripotiwa ktk vyombo vya Habari...
Katika Kijiji chenye watu mia sita wanalipwa watu nane au watu kumi na tatu kisha...
Habari za mwaka mpya wanaJF!
Awali ya yote nimpongeze Rais Magufuli kwa uchapakazi wake uliotukuka na kuwa Rais wa Mfano Afrika. Pia Rais wetu amekua mstari wa kupambana na rushwa katika taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.