Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nilikuwa na mkopo Benki ya NMB sasa nataka kulipa deni lote lililobaki. Ila nimekuwa nikizungushwa sana, hii wiki ya pili hawataki kunipa barua kuonesha deni lililobaki, wanasema bado Makao...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Mheshimiwa Rais Magufuli, Watumishi wako tunaomba ingilia kati suala letu la kuhama eneo moja la kazi kwenda jingine Ni miezi kadhaa sasa tangu 28 August 2018 tangazo la kusitisha uhamisho...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, nimemaliza kusoma kitabu cha "the power of your subconscious mind" na nimejifunza vitu Vingi sana ambavyo nilikuwa sivijui kuhusu nguvu ya fikra zetu binafsi. Nataka kujengeka zaidi, je ni...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema maambukizi ya ugonjwa wa Homa ya Ini yameongezeka mara mbili ya Virusi vya UKIMWI hivi nchini...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Maiti za watoto wawili wakazi wa kijiji cha Mgao katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara wameopolewa baharini baada ya kufamaji wakati wa kusheherea mwaka mpya. Maiti za watoto wawili wakazi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Eti wadau tatizo la uoga wa kupima HIV ukimwi ni kwa watu wengi au ni kwa qwachache wenye hofu na afya zaoo!.mana kuna watu hawataki kusikia hii kitu kupima ,nini maoni yako? Sent using Jamii...
0 Reactions
77 Replies
13K Views
Wamemsoma,wamekaa wakaskoti wakagundua kumbe mzee Ally Hassan Mwinyi alitumia busara sana pale aliposema kila "Enzi na kitabu chake."Wahaya wakajiongeza wakajakukuta kwamba hizi ni enzi za hapa...
8 Reactions
36 Replies
8K Views
Leo nimeenda NSSF kwa maana ninatarajia kupata asilimia 33.3% ambayo ni sehemu ya mshahara wangu niliokuwa nikipata kazini kwa mara ya mwisho, lakini baada ya kufika pale nikakutana na wahanga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza naitoe shukrani ya dhati kwa Muheshimiwa Raisi kwa kuwajali wazee wetu kwa kuwarudishia kikokotoo cha zamani kwa hilo nakupongenza maana ndio ilikuwa hoja kuu kwenye kikao chako na wadau wa...
1 Reactions
0 Replies
824 Views
Wanabodi, tujuzane katika hili zaidi ya mara tano ninavyokwenda kutoa vijisenti vyangu hua nakutana na hili la kuambiwa uondoe kofia. Sasa hii sheria sijui taratibu ni kwa ajili ya nini...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Kikokotoo cha maisha yako binafsi kwa mwaka huu tuliouanza wa 2019 kikoje? In as much as JPM amerekebisha kikokotoo cha maslahi ya wastaafu kuanzia mwaka uliopita mpaka 2023, vivyo hivyo kila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Ningependa kushauri NSSF itoe mwongozo kuhusu FAO LA kujitoa. Hii itasaidia kuondoa sintofahamu kuhusu kauli ya Rais. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kwa mda mrefu sasa nimekuwa nikisikia msemo"wanaume dar"naomba nijuzwe sifa anazotakiwa kuwa nazo mtu hadi kuitwa mwanaume wa Dar
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Kata ya ndugumbi katika manisipaa ya kinondon inakabiliwa na malundo ya uchafu katika nyumba za wakazi wa kata hiyo baada ya wazabuni wanao zoa uchafu kusitisha hiyo huduma zaidi ya miezi 2 sasa...
1 Reactions
0 Replies
760 Views
Wazooefu wa kuomba passport kwa Mara ya kwanza embu nisaidie, ni Ugumu upi ntaupata hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
931 Views
MTANZANIA ATAMBA KATIKA KICK BOXING NCHINI CHINA, AMTWANGA MCHINA KWA KNOCK OUT Mwanafunzi Mtanzania anayesoma nchini China Isaack Ibrahim Emmanuel juzi ameibuka kidedea katika mchezo wa kick...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kwa mtazamo wangu na kwa Elimu yangu ya kawaida ninaona dhahiri kabisa SERIKALI ilikosea kwenda na 'beat' ya wimbo wa TEKINOLOJIA haikwepeki katika dunia ya sasa inayokua kwa kasi ya ajabu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
NI MCHEZO AU ILIKUWA KWELI? Update: Wasio na mb kapicha ako hapo 👇CHINI NI VIDEO.
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Je kwa vipimo hiv ni bati kiasi gani zitahitajika pamoja na mbao Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari zenu wana jamvi. Katika pitapita zangu humu jf pamoja na mitandao mingine ya kijamii nimeona vijana wengi tukilalamika kuhusiana na kufanikiwa kimaisha, lakini pia vijana wengi wakiwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom