Kumbe katiba ya DRC ni kama ile ya Russia?

Kumbe katiba ya DRC ni kama ile ya Russia?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,722
Reaction score
21,959
Kwa mujibu wa katiba, rais wa Kongo anaweza kuserve term mbili baada ya hapo akakaa benchi akaingia rais mwingine ila uchaguzi utakaofuatia anaruhusiwa kurudi kwenye uchaguzi,yaani ni kama Russia vile.
Kwa hiyo Kabila uchaguzi ujao anaweza kurudi mchezoni tena yaani huyu rais ajaye kama atamwachia hiyo nafasi au kwwa njia nyingine.
Kabila karibu tena uchaguzi ujao,maana batoto ba Kongo banakupenda sana
 
Back
Top Bottom