Kwa Kushirikiana Na Wenzangu, Mwaka 2019 Nitaendelea Kupaza Sauti Kwa Kadri Ya Uwezo Wangu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kwa Kushirikiana Na Wenzangu, Mwaka 2019 Nitaendelea Kupaza Sauti Kwa Kadri Ya Uwezo Wangu, Kwenye Giza Pawepo Nuru, Penye Dhuluma Pawepo Na Haki, Penye Uonevu Pawe Na Usawa, Palipo Na Huzuni Pawepo Na Furaha Ili Jamii Iwe Na Usawa, Haki Na Amani. Heri Ya Mwaka Mpya Kwenu Nyote!!
 
Stress mbayaa sana! Ona mtu yupo anapaza sauti nyuma ya keyboard, ingia barabarani na bango lako uone "kifuatacho"
 
Back
Top Bottom