Sakata la Mgogoro wa Kanisa Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es salaam,linazidi kuchukua sura mpya,kufuatia Askofu wa Dayosisi hiyo,Dokta Valentino Mokiwa,kugoma kujiuzulu na kustaafishwa kwa...
Ninazo dola kama elfu moja lakini nilipochota kidogo kuziweka kwenye soko la shilingi mitaa ya Dar, nimepata tatizo. Wanasema ni za zamani. Eti wanataka series mpya ya dola. Tatizo hilo pia liko...
Habarini wakuu,majuzi nimebahatika kuongea na mama mzazi huko nyumbani ambae alikuwa kila akinipigia simu basi analalamika kuhusiana na suala la korosho.
Nimeshangaa akiongea kwa furaha mama...
Wadau Heri ya Mwaka Mpya.
Ikiwa hili ni andiko langu la kwanza katika huu mwaka mpya 2019.
Nimajaliwa yetu kuwa wote mu buheri wa afya njema.
Nirudi katika maudhui ya hili andiko nikweli kichwa...
1: Babu wa Samunge.
Mzee alitakiwa kupewa PHD ya Heshima. Alithibitisha karibu nchi nzima inaumwa hadi wakuu ambao sistahili kulegeza kidamu za majina yao.
2: DESI/LIFARO/D9
harakaharaka haina...
Kuna muda inatubidi tushee matatizo yetu yanayotukabili kwa watu wengine kwa sababu kitendo cha kuwaambia watu Matatizo yanayotusibu ni nusu ya kuyatatua na kupunguza mzigo moyoni mwetu.
Lakini...
Nianze kwa kumshukuru Mungu kuweza kutupa uhai na pumzi yake hata kuiona siku ya leo tukiwa tumebakiza takribani saa chache kuingia 2019.
Nijikite moja kwa moja kwenye mada. Binafsi kwa mwaka huu...
Utafiti wa hivi karibuni wa kisayansi, unaonesha kuwa watu wenye sifa/tabia ya kuchelewa, tabia hiyo huwasaidia kuishi kwa muda mrefu na kuwa na maisha yenye faida nyingi.
Tafiti nyingi...
Kila mwaka nikiwa kilimanjaro nahisi naona wachaga wanaspend zaidi ya miezi mingine. Zamani nilikua najua wanao spend pesa zaidi ji wale waliotoka Dar lakini nimegundua siyo.
Nimetafakari...
Ni wachache Sana hasa wanaouza genuine parts mitaa ya k Koo ndo utakuta wanatumia hizi mashine Ila Hawa wengine wa ilala wazee wa used wenyewe hawatumii mashine na hata risiti ya kawaida ya vitabu...
EWEURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA KUANZIA KESHO
Mafuta ya Petroli yatashuka kwa Tsh. 141 kwa Lita, Dizeli Tsh.212 na Mafuta ya taa kwa Tsh.167 kwa Lita. Bei hizi ni kwa mafuta...
Mamlaka ya Mapato Nchini(TRA) imewaasa Wafanyabiashara kutoa taarifa ya changamoto wanazokutana nazo wakati wa kulipa kodi badala ya kufunga biashara na kuinyima Serikali Mapato
Rai hii imetolewa...
Tunamshukuru maanani kwa kuendelea kuvuta pumzi ya uhai.
Tukiwa tunaelekea mwshon kabisaa mwa mwaka huu sio mbaya tukapata fursa ya maalumu wa kuandika chochote ambacho kimetokea na hauwezi...
TUWAOMBE TRA KUWA NA BIASHARA-DARASA KWA AJILI YA UTAFITI
Wadau ni matumani muko salama na mwaka mpya 2019,
Ombi langu kwa wadau wa kodi , TRA, Serikali n.k ili kuepuka msuguano uliopo...
Habari zenu...
Waungwana hili jambo la kutumia gesi kupikia ni zuri na kiukweli limerahisisha sana maswala ya kupika hasa kwa sisi mabachela
Sambamba na kuwa gesi ni mkombozi wetu katika nishati...
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la MikidadiAabdi mkazi wa Manyoni amefariki baada ya kutumbukia kwenye kisima katika kitongoji cha Majengo wilayani Manyoni mkoani Singida.
ITV ilifika katika...
Leo nimejikuta nacheka kama vile ni mazuri, kiasi kwamba nikamkwaza muhusika aliyekuwa anasimulia.
Iko hivi: Kuna jamaa yangu ofisini aliomba "admission" chuo kikuu cha Dar es Salaam ili aanze...
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), amesema FastJet hawana ndege hata moja hivyo kama mamlaka ya TCAA hatuna budi kuwazuia, wana madeni ya 6 billion hivyo kama wao...
Anaandika Benjamin James
Nyakati na Technology zimeharibu mambo mengi sana Tanzania.Wanawake wenye akili wasio na elimu walizaa na kulea ma Professors .
Nyakati hizi wanawake wasomi wanashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.