Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 732
- 1,746
Katika utafiti wangu niliofanya nimegundua siku hizi Makampuni binafsi mengi hadi mashule kumekuwa na matatizo ya ucheleweshaji wa mishahara sana kuna wanaodai hadi miezi 6 na kampuni imeamua kuendeshwa kwa kulipa posho tu
Au kama ni shule nilikuta walimu wamepewa nafasi ya kuuza vijitabu ili mradi uvumilivu na masha yaendelee na imeshakuwa kawaida sana kudai miezi 3 mishahara au kupunguzwa na redundancy
Hivi wataalamu hii kashi kashi ndio viashiria kupanda kwa uchumi au sijui kukua kama takwimu tunazosomewa na wanasiasa
HIVI HILI LITAKAPOANZA HADI KWA WAFANYAKAZI WA SERIKALI PENGINE NDIO WOOTE TUTAANZA KUTOKA USINGIZINI KUFAHAMU NINI KINAENDELEA
Sent using Jamii Forums mobile app