Nipo benki kuna mtumishi anaomba mkopo wa millioni 150+ tsh

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Nimeshangaa sana mimi,Leo asubuhi nilienda bank kwa matatizo yangu ile tunahudumiwa mbele ya mtoa Huduma kuna bwana akasema anahitaji mkopo wa million 150+ nikabaki nimetumbua macho tu.
Huyu jamaa kwa Maelezo yake nimemsikia vizuri akisema yeye ni mtumishi wa serkali

Kitu kikubwa kilichopelekea mi kushangaa inakuwaje mtumishi wa serkali tz inaweza lamba mkopo mnene kiasi hicho!!!!

Mfano mzuri ni humu jamii forum imejengeka taswira kuwa watumishi wa serkali wanaishi maisha ya chini sana kulinganisha na nchi nyingine

Kwa hii pesa jamaa anayokwenda kuilamba akiwa MTU mbunifu anaweza kubadilisha kabisa maisha yake na uchumi wake

Sikuishia hapo ilinibidi Mimi niahirishe kwanza kuhudumiwa nikatoka nje ya bank nione huyu mheshimiwa anatembelea miguu ya Mungu au ya binadamu

Kiufupi alipotoka nje ya bank alivuka barabara kwa usafiri wa Mungu akasepa zake

Nakumbuka dada mmoja tu wa crdb yeye amefanya kazi kwa miaka kumi na mingi kidogo ameniambia yeye anaweza kuchukua mkopo wa million 100+

Kilichoniumiza zaidi kichwa huyu mheshiwa atakuwa na wazifa gani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe wewe ndio ulikuwa nyuma yangu.
 
Mkuu usiumie kuhusu mafanikio ya mwenzako
 
Hiyo mbona kawaida mkuu, hapa kazini kwangu wapo wakuu wangu mshahara kwa mwezi ni mln 4.4. Huyu akichukua mkopo wa 16% anakatwa mln 2.9 kwa mwezi. Sasa kuna taasisi zinalipa hadi 7mln kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uki
Nimeshangaa sana mimi,Leo asubuhi nilienda bank kwa matatizo yangu ile tunahudumiwa mbele ya mtoa Huduma kuna bwana akasema anahitaji mkopo wa million 150+ nikabaki nimetumbua macho tu.
Huyu jamaa kwa Maelezo yake nimemsikia vizuri akisema yeye ni mtumishi wa serkali

Kitu kikubwa kilichopelekea mi kushangaa inakuwaje mtumishi wa serkali tz inaweza lamba mkopo mnene kiasi hicho!!!!

Mfano mzuri ni humu jamii forum imejengeka taswira kuwa watumishi wa serkali wanaishi maisha ya chini sana kulinganisha na nchi nyingine

Kwa hii pesa jamaa anayokwenda kuilamba akiwa MTU mbunifu anaweza kubadilisha kabisa maisha yake na uchumi wake

Sikuishia hapo ilinibidi Mimi niahirishe kwanza kuhudumiwa nikatoka nje ya bank nione huyu mheshimiwa anatembelea miguu ya Mungu au ya binadamu

Kiufupi alipotoka nje ya bank alivuka barabara kwa usafiri wa Mungu akasepa zake

Nakumbuka dada mmoja tu wa crdb yeye amefanya kazi kwa miaka kumi na mingi kidogo ameniambia yeye anaweza kuchukua mkopo wa million 100+

Kilichoniumiza zaidi kichwa huyu mheshiwa atakuwa na wazifa gani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na fixed asset unaweza kukopa na wengi wanafanya hivyo. Tatizo ni management ya huo mkopo. Wengi wanashindwa kutokana na nidhamu ya matumizi ya mikopo hiyo na mwisho wa siku ndipo unaposikia kuwa nyumba ya fulani ipo mnadani kwa kukosa kulipa deni la mkopo.
 
-Kipi cha ajabu hapo? Yeye kuchukua mkopo wa kiasi hicho cha fedha au wewe hujui matakwa na viwango vya ukopeshaji kwa wafanyakazi?

-Au nia yako ni kupigia chapuo/kujifariji na hicho ki-comfort zone chako?

-Nikusaidie tu, mwaka jana Dr. Kimei alipunguza riba kwa mikopo kwa wafanyakazi kutoka asilimia 22 mpaka 16 na muda urejeshaji kuongezwa kutoka miaka 5 mpaka saba..unajua hii ina maana gani 'kiuhasibu' na ina viaashiria gani 'kiuchumi' kwa hao unaoita watumishi wa Umma?

-Mwisho, wakati wewe unashangaa mil 150 kwa hao wafanyakazi ambao najua kwa uzpefu wangu itaishia kwa yeye kuishi kama shetani labda aendelee kubaki katka mpaka atakaporejesha..kuna mfanyabiashara ana malizia hapa process za kichukua mara saba ya hicho kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom