Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,964 Reaction score 8,937 Jan 2, 2019 #1 Hadi sa hivi nina Pointi 107 na sijala hata shilingi moja ya Zimbabwe. Wenzangu mlioshinda na kupigiwa simu mna pointi ngapi? Nimeanza kununua kete mwezi wa tisa!
Hadi sa hivi nina Pointi 107 na sijala hata shilingi moja ya Zimbabwe. Wenzangu mlioshinda na kupigiwa simu mna pointi ngapi? Nimeanza kununua kete mwezi wa tisa!
Louis II JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 3,030 Reaction score 4,651 Jan 2, 2019 #2 Shituka unaibiwa wewe!! Otherwise bora upeleke hiyo pesa yako kanisani/msikitini.