Heshima kwenu wakuu,
Askari JWTZ aua askari mwenzake na raia kwa risasi
Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani Ruvuma yakiwekiwemo ya askari magereza wa gereza la Kitai...
Sasa nimeanza kuamini kile kilichoandikwa kwenye barua ya fastjet kwamba refund zitaanza 20th December 2019, hasa kwa sisi tuliolipia kupitia mitandao ya simu. Naamini wale waliolipa kwa cash...
Mfanyabiashara Doglas Malamsha wa mjini Moshi,ametajwa kuwa mmoja wa wanufaika wa uifsadi wa mabilioni ya fedha kwenye Bodi ya kahawa Tanzania(TCB) baada ya Kampuni yake iliyokuwa ikijihusisha na...
Nimeshtuka kusikia hivyo japo bado sijaamini habari hiyo asilimia zote!
Kwa mujibu wa aliyenitaarifu ni kuwa traffic huwa wanawekewa kiwango cha chini cha kukusanya mapato kutokana na makosa ya...
KHABARI ZA ASUBUHI WANAJAMVI, NATUMAI KWA UWEZO WAKE MWENYEZI MUNGU AMEAMUA KUTUPA TENA NAFASI YA KUUONA MWAKA 2019 TUKIWA NA AFYA TELE KWANI SAFARI TULIIANZA WENGI ILA TULIOBAHATIKA KUINGIA MWAKA...
Sijui na sijui kwa nini???
Kumekuwa na maswali toka kwa watu tofauti juu ya FAO LA KUJITOA iwapo limerudishwa au lah. Hii inatokana na kauli ya Mh. Rais hivi majuzi kwamba utaratibu wa zamani...
Hata kama mnafanya biashara lakini sio namna hii, my wife wangu ni mteja wa hizi bidhaa ananunuaga sana dawa ya meno na vile vidude vingine km vidonge. Sasa safari hii kanunua sabuni ya...
Ulimwenguni kote hasa kwenye dunia iliyoendelea sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya hutawaliwa na utamaduni wa urushaji wa Fataki ama Pyrotechnics. Angani.
Nini Sababu ya Msingi ya Serikali ya...
Wakuu nakuja mbele zenu muweze kunisaidia hata kwa ushauri tu kwa sababu naamini hapa JF kuna vichwa vya kila aina vilivyobobea katika fani mbalimbali.Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua...
Habari wana JF
Mi ni mkazi wa Dar ila nimekuja moshi tangu jumapili ( 22 Dec ) kwa ajili ya kipindi cha sikukuu.
Tarehe 23 nlipita maeneo ya moshi Arusha hospital nikakuta ajali ya basi la...
Kuna msemo kuwa "uongo ukisemwa sana hugeuka kuwa kweli" ndivyo ninavyoona kwenye jina linalotumiwa na watu wengi kuwatambulisha wafanyabiashara wafanyao biashara kwa kutembeza mitaani ama...
Moshi ..Moja ya vivutio vya huku Kaskazini ni namna Wamisionari wa Kilutheri na Kikatoliki walivyogawana maeneo ya kuhubiri injili ya Kristo, na mipaka ya maeneo hayo bado inaheshimika hadi leo...
KIKOKOTOO katika sheria ya mafao inabeba maana pana, kwa uelewa wangu.
Ili mtu apewe fao la upotevu ajira, fao ambalo ukokotoaji wake ni wa kinyonyaji na kandamizi (yaani asilimia 33.3), basi...
Tawiiiire!!!
nawasalimu kwa heshima!
Rasmi sasa nimeiva baada ya mafunzo ya mda mrefu kutoka kwa washirika.
Naomba sasa kwa mda Wangu Wa ziada nianze rasmi kutoa huduma hii ya uganga Wa kienyeji...
Mwaka 2014 mwezi wa tisa, wanafunzi wakiwa wamekodi mabasi wakielekea katika maandamano ya kupinga kitendo cha aliyekuwa mke wa Mayor wa mji wa Iguala huko Mexico kutaka ndiye awe mrithi wa kiti...
Naomba kufahamishwa kanisa lilimfwata mwewe au mwewe alilifwata kanisa au puma alidondokea pale bahati mbaya au kimkakati na je uwanja wa mwewe ni plani ya mchonga ruksa au uwazi wa maisha bora na...
TANZANIA imeweka rekodi yake ya kuwa na akiba ya fedha za kigeni, sasa ikiwa na Dola za Marekani milioni 5,079.0, sawa na zaidi ya Sh trilioni 11, kiasi ambacho ni kikubwa zaidi tangu taifa hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.