Tetemeko la ardhi Dodoma leo Januari 01, 2019

Tetemeko la ardhi Dodoma leo Januari 01, 2019

Nawasalimu kwa jina la yeye aliu Juu, na mwenye kutupea pumzi....!!
Dakika moja iliyo pita, nimesikia tetemeko la ardhi hapa Dodoma.
Mwenye ameona ama pametokea madhara mtujuze tafadhali
Hili limepita dogo sana haliwezi sababisha madhara yoyote.
 
Habari wadau,

Dakika kama mbili zilizopita,tetemeko la ardhi limepita hapa Dodoma na kutufanya watu tuingiwe na mshituko ingawa sidhani kama litakuwa limelata madhara maana inaonekana halikuwa kubwa japo limetutikisa kwani lilikuwa na kishindo.

Binafsi nilikimbilia nje maana ndani niliona ni hatari kwa huo mtikisiko.
 
Habari wadau,

Dakika kama mbili zilizopita,tetemeko la ardhi limepita hapa Dodoma na kutufanya watu tuingiwe na mshituko ingawa sidhani kama litakuwa limelata madhara maana inaonekana halikuwa kubwa japo limetutikisa kwani lilikuwa na kishindo.
Au Raisi anahamia ni Mizigo ya Ikulu unashushwa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom