Tokea kuingia madarakani Novembe 2015, Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imejikita katika utatuzi wa changamoto mbali mbali zilizokuwa zikiikabili tasnia ya uzalishaji na...
Wakuu Habari!
Siku zote nimejitahidi kuwa smart na kuepuka kujihusisha ama kufikishwa police kwa kosa lolote.
Mwezi uliopita nikiwa matembezi huko Tanga kuna kijana aliniuzia simu akidai kuwa...
Ndg wana jamvi,kwanza nianze kwa utambulisho kwamba jina "Wandundu " nimeliasisi mimi. Sasa twende kwenye mada
Nchini Tanzania kuna makabila zaidi ya 120. Na kiuhalisia kabila ni kundi la...
Nimesikia baadhi ya wadau wakilalamikia swala la mabenki kuzuia pesa zilizotumwa kwa wateja kwa kisingizio cha Benki Kuu. Kuna jamaa alikuwa analalamika ya kuwa alilipwa kutoka Stanbic kwenda Exim...
Haya watumishi wenzangu wa umma.
Nimeona Mshahara wangu wa December 2018 pesa iliyowekwa according to NMB SMS ni pungufu ya TSH 30,000/=. Kuna mtumishi mwenzetu pia amatumiwa SMS yanye pungufu ya...
Ni nani aliua familia ya McStay
Mwezi wa 2 mwaka 2010 familia ya watu wa 4 inapotea kwa njia ya kustaajabisha na kuacha nyumba waliyokuwa wakiishi huko Santiago ikiwa na kila kitu chao.
Katika...
Katika kipindi cha wiki moja wanawake wajawazito zaidi ya wanne ninaowajua wamepoteza maisha kwa mtindo unaofanana walipokwenda kujifungua ktk hospitali ya Wilaya tunduru mkoani Ruvuma.
Mwingine...
Mwaka 2019[emoji116][emoji116]
Mathayo 5;27-29 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
[28] Lakini mimi nawaambia,kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
[29]...
Niende direct kwenye mada.
Napenda kuwakumbusha wanaCCM wale ambao kila kitu akifanya Magufuli hukishangilia hata bila ya kufanya tathmini ya kujua faida na hasara za jambo husika.
Magufuli...
Habari za usiku, naombeni mwenye biblia kubwa (Hard copy ) anisaidie kama msaada nijifunze neno la mungu, nimeamua kwa moyo mmoja kuanza kujifunza neno la mungu
Mwenye nayo anisaidie napitia...
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.
Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na...
Habari wadau,kama nilivyoeleza hapo juu suala lenyenwe ni Chanel za ndani kuzipata kwenye visimbuzi je unafikiri kipi kifanyike ili huduma tufaidi sote wenye visimbuzi tofauti karibuni kwa mawazo...
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba mabadiliko ya teknolojia yameleta athari hasi na chanya katika nyanja tofauti za maisha ya kila siku ya mwanadamu. Katika mabadiliko haya rika zote zimeguswa...
Kichwa kinajieleza mwl julius k. Nyerere alituambia tufunge mikanda hata kama time frame aliimiskalkulate ila sababu tuliziona n'a nia tuliijua huyu upara anaposema tuko sahihi anajua uhalisia...
Heri ya mwaka mpya wadau, niende kwa mada moja kwa moja
Nilikuwa Mfanyakazi wa Taasisi moja ya Serikali yetu ya Tanzania nikifanya kazi kwa mkataba toka mwaka 2010 hadi mwaka 2018.
Mkataba wangu...
Mamlaka ya udhibiti wa dawa na chakula TFDA imeitaja mikoa inayoongoza kwa watu wake kujichubua ni Mbeya, Njombe na Tabora
Na kuelezea kuwa hii ni kutokana na wenyeji wa mikoa hiyo kuwa weusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.