Kufuatia kauli ya Waziri wa Tamisemi Mh. Jafo kutishia kuwanyang'anya 50.9 billion za mradi wa ujenzi wa kituo cha mabasi mbezi luguruni kisa uongozi bado unavutana!!!!!!!
Nimejiuliza hivi kweli viongozi wa mkoa wa DSM haswa mkurugenzi wa Jiji la DSM nia yenu ni ktucheleweshea maendeleo ili tuendelee lutaabika au?? Mnavutana lkn tunao umia ni sisi wanamchi sio nyinyi, tafadhali hebu tangulizeni maslahi ya wananchi acheni ubinafsi