Hongera sana Mhe. Joseph Kasheku Musukuma kwa kuliona la Lisu

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
Siku nyingi nilikuwa nawaza huyu Lisu yuko huko anatukama serikali, anatukana Bunge lakini posho zake anapewa je sheria zilifichwa au ubinadamu ilitumika zaidi
kwa Lisu maana watu wengine ikifika miezi sita tu kazini haupo ni kelele tupu.
Nampongeza spika kwa uamzi wake wa kusitisha posho Na mshahara wa Lisu kwa sababu huyo Lisu ni jeuri unaweza ukadhani anatumia ndumu kwa sana.
Hongera sana Musukuma kwa kuomba mwongozo uliozaa matunda mema. Maana ukirejeshwa serikalini huo mshahara Na posho zitaenda kusaidia wananchi wa Ikungi wapate hata kisima cha maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We pepo can u shut up,kama ameitukana serikali safi Sana na aongeze,ila angeitukana nchi angalau ningeshituka,ivi Unajua serikali ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingi nilikuwa nawaza huyu Lisu yuko huko anatukama serikali, anatukana Bunge lakini posho zake anapewa je sheria zilifichwa au ubinadamu ilitumika zaidi
kwa Lisu maana watu wengine ikifika miezi sita tu kazini haupo ni kelele tupu.
Nampongeza spika kwa uamzi wake wa kusitisha posho Na mshahara wa Lisu kwa sababu huyo Lisu ni jeuri unaweza ukadhani anatumia ndumu kwa sana.
Hongera sana Musukuma kwa kuomba mwongozo uliozaa matunda mema. Maana ukirejeshwa serikalini huo mshahara Na posho zitaenda kusaidia wananchi wa Ikungi wapate hata kisima cha maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenu wajinga ni wengi sana. Kumnyima Lissu mishahara na posho zake halali, hakulingani na risasi alizomiminiwa kama Chatu au Tembo!!.

Ubaya mmeuanza wenyewe na Lissu hahusiki nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sishangai sana lakini niseme tu kwamba nchi hii ni yetu sote mlio madarani tendeni haki huku mkijua hamtaongoza nchi hii milele vilevile mjue ipo siku atatokea atakae ondoa hata kinga ya Rais kutoshitakiwa Muda utakuja kusema. Msifurahie kuwamoa wengine mkumbuke kuna kesho na kesho kutwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wakisikia jina la Lissu mavi yanagonga chupi.. kila thread utakayofungua ni lissu ni lissu, poleni sana

"Typed with my thumbs."
 
Back
Top Bottom