Ajali: Mwanafunzi wa Kibasila amepata ajali

Ajali: Mwanafunzi wa Kibasila amepata ajali

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,983
Reaction score
3,670
Wakuu kuna dogo amegongwa na bodaboda hapa mataa ya Serengeti/Kibasila. Wenzake Wamesema anaitwa SAMIRA, DARASA LA PILI, SHULE YA MSINGI KIBASILA hajaumia sana isipokuwa amejeruhika usoni.

Anakimbizwa hospital ya temeke kwa matibabu.

Kwa namna yoyote mnaweza share hii habari kumuepushia mzazi mwenzetu usumbufu.
Screenshot_20190208-154851.jpeg
 
Wakuu kuna dogo amegongwa na bodaboda hapa mataa ya Serengeti/Kibasila. Wenzake Wamesema anaitwa SAMIRA, DARASA LA PILI, SHULE YA MSINGI KIBASILA hajaumia sana isipokuwa amejeruhika usoni.

Anakimbizwa hospital ya temeke kwa matibabu.

Kwa namna yoyote mnaweza share hii habari kumuepushia mzazi mwenzetu usumbufu.View attachment 1016836
Madereva bodaboda akili zao zina matatizo,unakuta kwenye Zebra magari yamesimama ye anapita speed kali Bila kujua anaenda kukutana na nini mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom