Sababu za PSSF kulipa asilimia 25

Sababu za PSSF kulipa asilimia 25

dadanga

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
63
Reaction score
47
Ndugu wastaafu wenzangu leo nimefanikiwa kufika ofisi za PSSF Dodoma na kuambiwa sababu za Pssf kutulipa asilimia 25 %tofauti na agizo la Rais ni kwamba bado hawajapata waraka rasmi wa kuanza kutekelezeka kwa agizo la Rais, na hivyo wametulipa asilimia 25 kwa kufata kile kikokotoo ambacho kilikataliwa.

Wamewalipa wale ambao tayar check zao zilikuwa zimeshatayarishwa za asilimia 25 kabla ya kurudi asilimia 50 tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom