Shule za JWTZ zajipanga kuboresha matokeo ya kidacho cha nne na sita

kiwenini

Member
Nov 25, 2018
73
125
Wakuu wa shule zinazomilikiwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ)wametakiwa kuboresha uendeshaji wa shule hizo ili kuendana na kasi ya Serikali

Pia wametakiwa kufanya hivyo ili kukidhi mahitaji na mwongozo wa Rais na Amiri Jeshi mkuu, Dkt. John Magufuli kuwa nchi ya uchumi wa kati kwa kuzalisha wahitimu wanaoendana na mkakati huo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom