Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Akiri, Oct 25, 2010.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,430
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wadau nina matangazo yangu ya kikampuni changu, na nilikuwa napanga kupeleka pale channel Ten, sasa nikampigia simu rafiki yangu anisindikize ndipo akaniuliza kwani na wewe ni fisadi? nikamwambia sijakuelewa ndipo akaniambia kuna kituo hicho kimenunuliwa na mafisadi yule Mwitaliano hayupo.

  Akasema kinamilikiwa na Rostam Aziz pamoja na Edward Lowassa nikabaki mdomo wazi. Ila naye hana uhakika. Mwenye kuujua ukweli huu atujulishe ili tusiendelee kuwaunga mkono mafisadi.   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Duh hii kali ,nafikiri kuna mpango kabambe wa kuhakikisha vyombo vyote vya habari vinakuwa chini ya mafisadi ifikapo mwaka 2015!!!
   
 3. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wadau napenda kujua kituo hiki cha television nani anakimiliki? Siku za nyuma kama sikosei mmiliki alikuwa ni franko tramontano lakini nadhani alishaondoka nchini.
   
 4. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,824
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Swali lako bwana...la kichokozi!
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mzee mmoja hivi anaitwa King Majuto kama mfuatiliaji wa vichekesho utakuwa unamfuhamu.
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Rostam
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,123
  Likes Received: 7,086
  Trophy Points: 280
  Tv za Kenya haziwezi kutowa coverage ya mazishi ya Kanumba, kuna vitu vingi vya msingi vya kuripoti.
   
 8. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nini TV za Kenya hata CNN, Sky News, BBC, na nyinginezo huwa zinatoa coverage ya mazishi ya celebrities! Hivi Kazi ya TV nini, na nini maana ya news?
   
 9. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Iko under SHIVACOM Group ya Tanil Somaiya
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,123
  Likes Received: 7,086
  Trophy Points: 280
  CNN, Sky News, BBC, walionesha mazishi ya Kanumba!!.....inaonekana wewe ni miongoni mwa wale msiokuwa na shughuli za kufanya mliojazana pale Leaders club kisa eti kumuaga Kanumba in working days!!
   
 11. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 888
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  MKUU vp unaitiilia shaka nn in any way? tujuzane tafadhali
   
 12. T

  The Businessman JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2015
  Joined: Jan 9, 2014
  Messages: 5,946
  Likes Received: 2,562
  Trophy Points: 280
  Aman iwe kwenu,

  Naomba kujua ni nani mmiliki wa kituo cha habari chanel ten.
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2015
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Mimi....
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2015
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22,219
  Likes Received: 9,237
  Trophy Points: 280
  kwa nini wataka kumfahamu
   
 15. T

  The Businessman JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2015
  Joined: Jan 9, 2014
  Messages: 5,946
  Likes Received: 2,562
  Trophy Points: 280
  Ndio, awali nilikuwa najua ni mali ya Rostam kumbe nilipotoka.
   
 16. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2015
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  MaCCM chini ya mwamvuli wa Ghabachori moja hivi.
   
 17. mazina

  mazina JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2015
  Joined: Sep 30, 2013
  Messages: 1,124
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Ni ya mzungu muitalia mmoja anaitwa frank montana
   
 18. SUPER PREDATOR

  SUPER PREDATOR JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2015
  Joined: Apr 29, 2014
  Messages: 2,081
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Ni ya Mzito Kabwela
   
 19. m

  muyahudi Member

  #19
  Oct 13, 2015
  Joined: Sep 21, 2015
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  aliye kuambia si mali ya rostam akuambie ni yanani.
   
 20. j

  josephmeela JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2015
  Joined: Aug 16, 2015
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna yule jamaa alikua shivacom Tamil sumaiya si ndio alinunua toka kwa mtaliano.
   
Loading...