Meli kubwa ya kitalii yawasili nchini

Meli kubwa ya kitalii yawasili nchini

diana chumbikino

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
428
Reaction score
368
1549614112535.png

1549614129719.png

1549614153194.png

1549614172852.png
 
Attachments

  • 1549614191374.png
    1549614191374.png
    88.8 KB · Views: 55
Akili za vijana wa lumumba ndogo sana. Hata meli za kitalii wanazihusisha ma Rais? Au na siasa?
Hizo meli zinakuja TZ miaka na miaka tokea enzi za Nyerere. Wanazinguka nchi mbalimbali na kupumzika siku moja au mbili.

Hao wamelipia kila kitu. Wanalala na kula humo humo melini. Sio kwamba kwamba wameletwa kuja kutalii TZ.
 
Walikuwa hawazioni mambo mengi wameyaona kupitia mitandao
 
Akili za vijana wa lumumba ndogo sana. Hata meli za kitalii wanazihusisha ma Rais? Au na siasa?
Hizo meli zinakuja TZ miaka na miaka tokea enzi za Nyerere. Wanazinguka nchi mbalimbali na kupumzika siku moja au mbili.

Hao wamelipia kila kitu. Wanalala na kula humo humo melini. Sio kwamba kwamba wameletwa kuja kutalii TZ.
Bora hata uwakumbushe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakaicheki na kuikagua labda watampata Lissu kajificha humo ndani
 
Back
Top Bottom