Kuna haja ya kuwaanda viongozi, elimu peke yake haitoshi

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
4,604
2,000
Ndugu wana JF

Kwa masikitiko makubwa sana ninawasilisha hii hoja yangu baada ya kuangalia Straight Talk Africa. Aina ya viongozi tulionao wanaacha maswali mengi ya kujiuliza kama kweli wanakidhi viwango vya viongozi katika dunia hii ya utandawazi.

Maandalizi yafanywe kwenye maeneo gani?

1. Uwezo wa kuwasilisha mada;
2. Uwezo wa kujua nafasi yake na athari ya maneno atakayoyatoa;
3. Uwezo wa kuhimili maswali magumu na kuyatolea majibu fasaha;na
4. Uwezo wa kufanya facial expression (gestures) sahihi kulingana na mada husika.

Ndugu zangu, tunahitaji elimu ya uongozi itolewe kuanzia shule za vidudu.

Naomba kuwasilisha.
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,353

Zamani kulikuwa na vyuo vilivyowafunda na kuwaandaa
IDM Mzumbe
Kivukoni
Local Govt Hombolo
Mipango Dodoma

Siku hizi wanapatikana mitandaoni, Lumumba na humu JF kwenye utukanaji
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
3,994
2,000
Malezi tuliyopewa utotoni mwetu yanachangia sana pia sisi kua hivi tulivyo na hata tukiwa viongozi huko mbeleni.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,489
2,000
Tofauti yetu na,watu wa jamii nyingine km vile wazungu ndio ipo hpa

Wenzetu suala la kuandaa viongozi ni agenda ambayo wanaitilia maaanani sana hawana mchezo kbsa linapokuja suala la uongozi

Sisi huku mtu from nowhere anaweza kushika nafasi muhimu ya nchi bila kuwa hta na vigezo vinavyotakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
christeve88

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
1,163
2,000
Z
Ndugu wana JF

Kwa masikitiko makubwa sana ninawasilisha hii hoja yangu baada ya kuangalia Straight Talk Africa. Aina ya viongozi tulionao wanaacha maswali mengi ya kujiuliza kama kweli wanakidhi viwango vya viongozi katika dunia hii ya utandawazi.

Maandalizi yafanywe kwenye maeneo gani?

1. Uwezo wa kuwasilisha mada;
2. Uwezo wa kujua nafasi yake na athari ya maneno atakayoyatoa;
3. Uwezo wa kuhimili maswali magumu na kuyatolea majibu fasaha;na
4. Uwezo wa kufanya facial expression (gestures) sahihi kulingana na mada husika.

Ndugu zangu, tunahitaji elimu ya uongozi itolewe kuanzia shule za vidudu.
Mkuu hizo ndo sifa za kiongozi? Kwa nchi yetu tunataka viongozi wazalendo hiyo ndio sifa kuu na wenye uchungu na rasilimali za nchi hii haijalishi yupo ngazi gani ya uongozi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom