Habari njema mwendokasi Mbagala

kiwenini

Member
Nov 25, 2018
73
43
Mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendeyo haraka, maaarufu kama mwendokasi awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala kuu jijini Dar es salaam unatarajiwa kuanza wakati
wowote kuanzia sasa.
 
Mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendeyo haraka, maaarufu kama mwendokasi awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala kuu jijini Dar es salaam unatarajiwa kuanza wakati
wowote kuanzia sasa.

Sambamba na adha za foleni kama ilivyokuwa Kimara

Ila wasifanye kosa wakampa njia huyo mwenye mabasi ya blue watafute mabasi mekundu
 
Hiyo ni habari mbaya sana watu wa Mbagala msikubali. Waulizeni wenzenu wa Kimara. Saa 12 alfajiri mpaka saa 2 asubuhi yanakuja mabasi 2 moja ferry moja kariakoo. Bora muendelee na ma eicher yenu.
Mtaniambia
 
Back
Top Bottom