Kiumbe hai cha ajabu chenye umbo kama binadamu kikiwa na miguu mwili na mikono miwili huku kikitembea kama binadamu kimejitokeza ghafla maeneo ya shule ya Msingi Kalalasi Wilaya ya Kalambo Mkoa wa...
Shukurani za dhati ziende kwa viongozi wote wa Tanzania wanaoitangaza nchi yetu vizuri na pia tunawashukuru uongozi mzima kutoka Wizara ya Mali asili na Utalii Tanzania ukiongozwa na Waziri Mh...
Hiyo ni ndo mipango ya Wapinga kristo illuminati (NWO) akina Obama, Clinton &Co. hizo chini ni Amri 10 zao, ya kwanza ni kupunguza Binadamu wote Duniani hadi kufikia milioni 500 tu, sasa hvi tuko...
Mwanangu amezaliwa Mkoani Morogoro Turiani sehemu inaitwa Sagasa. Alizaliwa 2013 hapo alipozaliwa hakuna zahanati wala hospitali,alizaliwa nyumbani. Kwa sasa mimi niko Dar es salaam,nimekwenda...
Tujadil hili..kumekua na ongezeko la machine za wachina seemu mbalimbali mitaani husasan mjini DSM (cjui mikoan)..machine hizi ni zile za kuweka coin za miambili..tulizoea hizi kua seemu za staree...
Moja kati ya emoj zinazotumika kama "Kichaka" cha kukimbilia na kutoa ishara batili, basi ni emoj yenye alama ya upendo ambapo imekuwa ikiandikwa kwa namna na mitindo tofauti tofauti kama...
Mimi Guzman_ mwanachama mtiifu kabisa nasema #Kama chama Ipo haja ya kujitafakari#.
Ni kweli tumeshika nchi kutoka shinani mpaka matawini ila haitupi uhalali wa kuimiliki. Tufanye siasa za...
Suala la hijabu kuvaliwa shuleni sisi wanaoona mbali tulishajua litaleta matatizo, hasa kwa wanafunzi wanaokua tena ni wa kike.
Madhara yake wameshaanza kuzificha mimba, nywele chafu na wengine...
Sentensi hii huonesha asili ya mwanadamu ilivyo.
Wengi tunang'ang'ania vitu vibaya, viovu na vyenye kuleta shida maishani mwetu huku tukivipotezea
Vitu vyema, vizuri na vyenye kuleta ukombozi...
Matukio ya watoto wa umri kati ya miaka miwili hadi sita kuchinjwa na kukatwa koromeo, sehemu za siri na ulimi wilayani Njombe hapa-hapa Tanzania si ya kukalia kimya.
Hivi binadamu anatoa wapi...
Leo kuanzia saa 2.30 usiku katika Ukumbi wa Kissenga Millenium Towers kutakuwa na mdahalo moto ulioandaliwa na Mwananchi Communications na wadau wengine wa Mazingira. Mdahalo huo wa wazi utarushwa...
JESHI la Polisi Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na maofisa wa wanyamapori wilayani humo, wamefanikiwa kukamata meno mawili ya tembo ambayo thamani yake haijafahamika...
Nimekuwa mnunuzi wa Gazeti la Nipashe kwa muda mrefu ila kuna Tabia inayonikera kwenye Gazeti hili ya Kuandika muendelezo wa Habari kwa Habari ambayo ndio kwanza ipo hot.
Mfano RAIS Magufuli...
Kuanzia mwaka jana mwishoni baadhi ya makampuni mkubwa hasa yanayosambaza bidhaa( mfano, vinywaji baridi, vinywaji vikali, mahitaji ya nyumbani nk...)kutoka viwandani kwenda kwa mawakala...
Baada ya anguko faida kwa benki ya CRDB kutoka 70bilioni mwaka 2016 hadi 40bilioni mwaka 2017, benki hiyo kwa mwaka 2018 imeanfika faida ya 104 bilioni kabla ya kodi ikiwa ni ongezeko la zaid ya...
Nimesikia clip video jinsi ulivyosimama bungeni ukiongelea jimbo la busokelo na mbeya mjini.
Nikupongeze sana kwa ujasiri mpango kama ule. Umeoneshwa kuwa suala la maji ktk nchi hii kwa hayo...
Tuko kwenye kipindi ambacho propaganda inatawala kila kitu kiasi kwamba kizazi chetu kinaendeshwa na watu wachache wenye uelewa flani ambao unaweza ukadhani ni mkubwa kuliko wenigne. Kizazi chetu...
Tuko kwenye kipindi ambacho propaganda inatawala kila kitu kiasi kwamba kizazi chetu kinaendeshwa na watu wachache wenye uelewa fulani ambao unaweza ukadhani ni mkubwa kuliko wenigne.
Kizazi...
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Ilala imemfikisha mahakamani William Komba ambaye alikuwa Ofisa Utumishi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa makosa ya kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.