Naangalia tamthilia sultan Azam tv. Nimevutiwa na uhusika wa sultan Suleiman khan, hureem, mawaziri na washauri wake wanaomzunguuka.
himaya ya Otthoman inaenda kuanguka Kwa hila za Hurem lakini...
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limewakamata wahamiaji haramu wapatao 22 ambao walikua wakisafiri kutoka nchini burundi kupitia kigoma, Tabora kwa basi na kisha kuelekea nchini Zambia wakiwa kwenye...
Wakuu wa jukwa kwema?
Leo nimeona sisi wahenga tujikumbushe zile Bar na Kumbi maarufu za starehe zilizotamba miaka ya nyuma ambazo leo hii hazipo tena au zimechuja kwa kiasi kikubwa sana.
Mi...
Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano
Na Ahmed Rajab
MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, natumaini kuna baadhi ya watendaji wa Idara hii wamo humu fikisheni ujumbe huu kwa wahusika.
Tumelalamika kwa muda mrefu sasa tokea September 2018 wakazi wa...
Hapo vip!!
Leo nimekutana na wananchi wanaotokea wilaya ya Arumeru wakililamika migambo kuvamia katika Nyumba zao na kuchukua Mali, Kwa madai ya kushindwa kulipa michango ya ujenzi wa shule ya...
Huu uzi hapa chini niliupita for some reason bila kuusoma, ila sasa imebidi niutafute. Nipo Dar mitaa fulani napata late lunch cum early dinner. Kuna mteja kaja na dame na kaomba condom kwa...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezindua mfumo mpya wa malipo ya fedha kwa njia ya kielektroniki utakaowezesha utumaji wa huduma za kifedha kutoka katika taasisi moja kwenda nyingine.
Pamoja na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepongeza juhudi za Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kusaidia wakulima wadogo nchini hali inayoongeza...
Katika kuboresha huduma za kibenki nchini Maendeleo Bank lao imetoa zawadi kwa washinidi wake wanne wa droo ya kwanza ya bahati nasibu ya ‘Maendeleo pamoja na wewe’ iliyochezeshwa tarehe 31/8/2017...
Kiukweli inauma sana, Watumishi wa serikali ambao waliokuwa wanahitaji huduma za mikopo toka benki hii wanaendelea kusumbuka pasipo sababu za msingi .
Tangu mwezi march / April fomu za mikopo...
Ujenzi wa soko kuu la mji wa Morogoro sasa umeshika kasi baada ya kusimama kwa kipindi kirefu. Twamkaribisha mheshimiwa wk end hii aje 'kumimina' baraka zake.
Viongozi wa dini nao tushawapanga...
Nazungumzia hizi mita zinazotumia remote.
Sina shida na lengo kuu la kudhibiti mianya ya wizi wa umeme, shida yangu ni kwenye ubora wa hizi mita na remote zake na hasara inayo patikana kutokana...
habari wadau.
maana ya kuwa na asset na mali nyingi ni nini?
kama hata ukiumwa hazikusaidii chochote unabebesha mzigo wengine..
tujadili hili kazi ya asset ni nini?
je tunatafuta mali za kazi...
MKAZI wa kijiji cha Kilongo, Muheza mkoani Tanga, Saidi Sekizenge (72), amefariki dunia kwa kuteketea kwa moto akiwa shambani kwake.
Tukio hilo lilitokea juzi katika kijiji hicho ambako Sekizenge...
Kwenye kitabu cha mwanzo, alipotoa hukumu alisema Mwanamke atazaa kwa uchungu na atatawaliwa na Mwanaume
Kwa Mwanaume alisema utatafuta kwa jasho, hivyo basi tangu mwanzo majukumu yote ya...
Kila mmoja wetu anao wajibu wa kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi (Maneno Basi, Sasa Vitendo)
Mama anapewa nafasi ya kwanza kabisa hata kwenye vitabu vitakatifu yaani Quruan na Biblia, sasa basi...
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi mweka hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo, Thomas Chogolo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za ubadhilifu wa makusanyo ya...
Mwenyekiti wa kitongoji cha Usinge Kati anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumlawiti kijana mmoja.
Mtuhumiwa na wezake walifanya kitendo hicho cha kumlawiti huyo kijana na kisha wakamshindilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.