kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,180
- 16,866
Naangalia tamthilia sultan Azam tv. Nimevutiwa na uhusika wa sultan Suleiman khan, hureem, mawaziri na washauri wake wanaomzunguuka.
himaya ya Otthoman inaenda kuanguka Kwa hila za Hurem lakini hata mawaziri na washauri wao wanaogopa kumshauri dhidi ya hila za Hurem ingawa wasaidizi wake wote wanaufahamu umbaya wa Hurem. Mfalme sultan amejikinga dhidi ya ushauri wowote dhidi ya Hurem. Washauri wake wanaogopa kuchinjwa na mtawala wa dunia mtukufu sultan Suleiman khan. kasha wapoteza mawaziri wake wakuu, mama yake, dada yake na shemeji zake Kwa hila za Hurem lakini hataki kuambiwa chochote kibaya kuhusu Hurem.
Viongozi wa kiafrika wengi wao wanafanana na Suleiman, hawataki kuambiwi kuhusu ubaya wao.