Mwenyekiti wa kitongoji cha Usinge Kati anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kulawiti

hito

JF-Expert Member
Jul 11, 2018
501
913
Mwenyekiti wa kitongoji cha Usinge Kati anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumlawiti kijana mmoja.

Mtuhumiwa na wezake walifanya kitendo hicho cha kumlawiti huyo kijana na kisha wakamshindilia miti pamoja na chupa sehemu za siri kisha kuuponda ponda uume wa huyo kijana.

Kijana huyo alipelekwa kwenye zahanati ya Usinge ambapo waliona hali inakuwa mbaya wakampeleka hospitali ya wilaya Urambo.

Kisa cha kufanya hayo yote ni inasemekana kijana huyo alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke mdogo wa mwenyekiti huyo.
 
Duh!! Hatari faya... Ila hata kama ni kweli hiyo adhabu imepitiliza
 
Mila za kiafrika kabla ya ubeberu kuja zilikua zinawajenga vijana kuwa na nidhamu sana kwa wake za watu.
Kijana alikua hawezi kutembea na mke wa mtu mwenye umri sawa na baba yake.

Kijana kutembea na mke wa mtu ni jambo lililokua linachukuliwa kwa uzito mkubwa sana.
Wakati huo wa ujima kijana kama huyo alipaswa kutundikwa kwenye mti pamoja na huyo mwanamke wakiwa wameshikana.

Mabeberu ndio waliotuletea mila zao zinazohamasisha zinaa holela na wazinzi kuonekana ni mashujaa.

Kijana huyo kama amefumaniwa live basi hilo nalo neno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa vijana nao wanayataka matatizo, mke wa mtu ni sumu haswa maeneo ya kijijini kufahamika ni rahisi sana.
Mwenyekiti wa kitongoji cha Usinge Kati anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumlawiti kijana mmoja.

Mtuhumiwa na wezake walifanya kitendo hicho cha kumlawiti huyo kijana na kisha wakamshindilia miti pamoja na chupa sehemu za siri kisha kuuponda ponda uume wa huyo kijana.

Kijana huyo alipelekwa kwenye zahanati ya Usinge ambapo waliona hali inakuwa mbaya wakampeleka hospitali ya wilaya Urambo.

Kisa cha kufanya hayo yote ni inasemekana kijana huyo alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke mdogo wa mwenyekiti huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!! Mwenyekiti anataka iyo 'i' kwenye Usinge itolewe iwekwe 'e' nini!?

Sent using akili yangu
 
Unakuta mwenyekit umri wa prof Kapuya, Na mke mdogo ndio kama aliyemuoa juzi hapa.
 
Ngoja nimuulize jamaa yangu anaishi usinge kama hii taarifa anaifahamu,,,,mkuu Saidi Hamisi Luje hebu njoo utufafanulie hapa
 
Unapozoe "pachupachu" za wake za watu kukutwa na majanga kama hayo ni kawaida, pole sana kijana next time kaa mbali nao, unaweza kuchinjwa kabisa
 
Mwenyekiti wa kitongoji cha Usinge Kati anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumlawiti kijana mmoja.

Mtuhumiwa na wezake walifanya kitendo hicho cha kumlawiti huyo kijana na kisha wakamshindilia miti pamoja na chupa sehemu za siri kisha kuuponda ponda uume wa huyo kijana.

Kijana huyo alipelekwa kwenye zahanati ya Usinge ambapo waliona hali inakuwa mbaya wakampeleka hospitali ya wilaya Urambo.

Kisa cha kufanya hayo yote ni inasemekana kijana huyo alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke mdogo wa mwenyekiti huyo.

Usikute huyo mwenyekiti ni Maalim
 
Kijana kutoka Kijiji cha Usinge Kati alikuwa akiweka Usinge wake katikati ya Mke wa Mtu. Mwenye mke nae kaona dawa ya Usinge Kati ni kumwekea nae Usinge kati. Dunia simama plz.
 
Mila za kiafrika kabla ya ubeberu kuja zilikua zinawajenga vijana kuwa na nidhamu sana kwa wake za watu.
Kijana alikua hawezi kutembea na mke wa mtu mwenye umri sawa na baba yake.

Kijana kutembea na mke wa mtu ni jambo lililokua linachukuliwa kwa uzito mkubwa sana.
Wakati huo wa ujima kijana kama huyo alipaswa kutundikwa kwenye mti pamoja na huyo mwanamke wakiwa wameshikana.

Mabeberu ndio waliotuletea mila zao zinazohamasisha zinaa holela na wazinzi kuonekana ni mashujaa.

Kijana huyo kama amefumaniwa live basi hilo nalo neno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatetea tu ujinga. tangu Enzi hizo hayo mambo yapo sehemu zoooote
 
Back
Top Bottom